Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
Mkuu kama unaongelea harusi iliyofanyika Diamond Jubilee ilikuwa poa sana aliendesha vizuri sana, Beef zako na yeye usichangaye na kazi yake. Yule ni Mtanashati safi na kijana amempokea Kristo..

Dah ni kweli usemacho huyu mleta uzi ana lake la moyoni c bure kwnz kwann mumuandame mtu kiac hcho co vzr na Mungu hapendi majungu!! ukiona anakosea mwite mwambie ukishindwa ita wazee wny hekima otherwise umeshindwa tupa kule....fanya yako!!
 
ndugu yangu ni mmoja wa vibosile wa ile radio ya mama rwak...le, chanzo cha jamaa kufukuzwa kilitokana na kupatikana kwa ushahidi kwamba kweli anatoka na wanaume wenzake huko mtaani, tena walipatakina mashahidi wengine ambao walitongozwa na mshikaji. kuona hivo mama rwak akaona isiwe tabu wakamfukuza. kuhusu radio clouds kuwa na mashoga wengi hilo pia ni kweli kabisa, mfano wachache ambao ni confirmed ni B12,qhwaser(anakipindi cha ijumaa kipo kama cha friday night live cha eatv) endeleeni kushusha wengine hapo chini.

muongeze na MUSSA WA HUSSEIN mwanadaslam
 
kumbe mwanaume? Anachonga nyusi na kupaka hayo mapoda. Mungu atunusuru na vizazi vyetu jamani
 
Dah yani hata sielewi kama anasingiziwa au la!!maana nilipoona hii habari ikabidi nitazame picha zake, nikakuta ametinda nyusi tena zaidi ya mkewe!Nguvu zote za kumtetea ama kumwambia shoga zikaisha...atajijua mwenyewe, MMMhh kama ana iko kitabia dah hatari, hii ni kama Laani kibinadamu
 
Kama alivyotanabaisha BornTown, hawa madubwana wengine wako na familia zao na watoto ni wao kabisa...kwa hiyo haijalishi kigezo kuwa ana mke na watoto. Sitaki kumhukumu huyu jamaa naskia pia anamiki Gospel NiteClub mjini hapa ila yawezekana akawa mchicha mwiba, we can not refute the possibility of him being gay since how you dress describe you in a million ways than one can tell!
 
Mmmh....jamaaani majungu.com ni noumaaa,hilo suala la yeye kuwa BOFLO hata mimi napinga. Nimefanya nae kazi STANBIC BANK -head offoce kabla hajaingia Clouds fm na alikuwa saafi tu. Wala hizo mambo za BOFLO hatukuziona au ndo kusema haifai kuwa msafi na mtanashati...au kwakuwa anaenda kufanya scrubin... muacheni kaka wa watu,ana familia yake na ina muheshimu kama nguzo ya familia.

Heart, kuscrub, massage, pedicure hizo hazina shida kabisa na nadhani wengi tu wanafanya kiutanashati. Ila kunavitu ambavyo kama wewe ni mdadisi by nature huhitaji siku nzima kujua...these people can conceal things for a longtime or even lifetime beware.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom