Ndugai: Uhuru wa kukusanyika ni upi?

CCM kama watu tulionao ndiyo hawa na uwezo wao wa kujenga hoja ndiyo huu, kweli taifa lina dalili ya kusonga mbele kweli?
 
99% wameelewa hiyo mada,ni wewe tuu na manazi wenzako wa CCM mnajifanya hamjaelewa, ujinga wa CCM umewaingia mpaka mmepoteza akili kabisa

Hao ni jukumu takatifu kukabiliana nao tena - head on.

Hao ni wale wachawi wetu pendwa kwa majina yao halisi - sentry mitandaoni 😁😁.
 
Nilid
Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji:

View attachment 1986435

Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa mihimili mingine nao yawezekana hawaujui na walipo wanashangaa!

Isimfikirishe mtu namna gani kuwa labda hata watunga sheria nao hawazijui na wala hawatambui kama haki hizo zinakanyagwa?

Ama kweli safari bado!NM
Nilisikia hawa ndo wanaitwa mazuzu/mazwazwa
 

😁😁

IMG_20211025_180058_443.jpg
 
Hivi huu ukali wa kufokea fokea Ndugai kutoa wapi? Au ndiyo kiburi cha madaraka. Naona kama vile mambo mengi anatoka ana nayo huyu bwana hayahusiani na kazi yake. Kazi yake ni kuisimamia serikali.... Lakini yeye kageuka kuwa mpambe wao. Magufuli aliwaharibu sana watu.
 
Back
Top Bottom