za asubui mabibi ma mabwana,najua wengine mtakuwa hamjaamka.....hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF coz watu wanasema ndoto nyingi zina maana.....sitaki kushushuliwa,nimeona hili swala lina fit hapahapa
Ni Mzee wa Misukule. ...
Wewe hujui ku quote replies?
Mfundishe