Ndoto

Ndoto

hahahahahaha bado nilikuwa naota
 
za asubui mabibi ma mabwana,najua wengine mtakuwa hamjaamka.....hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF coz watu wanasema ndoto nyingi zina maana.....sitaki kushushuliwa,nimeona hili swala lina fit hapahapa
Njoo kwangu
 
tafsiri: Unaanza kupoteza mwelekeo wa maisha kwa kutaka kuishi kwa kufuata ruya za kupaa hewani usiku.
 
shuka hapa ulichoota, wazee wa imani, saikolojia na mitazamo tuje tuidadavue
za asubui mabibi ma mabwana,najua wengine mtakuwa hamjaamka.....hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF coz watu wanasema ndoto nyingi zina maana.....sitaki kushushuliwa,nimeona hili swala lina fit hapahapa
 
Sometimes dream is an initial stage to receive instruction from God, those who have gone to an advanced stage can hear the voice or receive visions. Sometimes there are vital signs that signifies something. I hope unaelewa kiingereza!
 
ww utakuwa umeniota mimi kwa mara nyingine tena... eeh!
dalili zote nishaziona
naomba iwe siri yetu, wakijua hawa watatamani nao waniote ili wafaid
sasa mimi nataka usiku wangu uwe kwako tu!
 
Back
Top Bottom