Ndoto

Ndoto

Sometimes dream is an initial stage to receive instruction from God, those who have gone to an advanced stage can hear the voice or receive visions. Sometimes there are vital signs that signifies something. I hope unaelewa kiingereza!

asante,nimeelewa hivyo hivyo kwa shida tu,ntafanyaje tena na ndio la saba B mi
 
ww utakuwa umeniota mimi kwa mara nyingine tena... eeh!
dalili zote nishaziona
naomba iwe siri yetu, wakijua hawa watatamani nao waniote ili wafaid
sasa mimi nataka usiku wangu uwe kwako tu!

tehe tehe tehe na kweli,nshaikumbuka hiyo sura yako,ila leo usije na hiyo sura ya jana
 
ww utakuwa umeniota mimi kwa mara nyingine tena... eeh!
dalili zote nishaziona
naomba iwe siri yetu, wakijua hawa watatamani nao waniote ili wafaid
sasa mimi nataka usiku wangu uwe kwako tu!
hapa naona haponi mtu
 
Unapotafsiri ndoto umuone na uyo unaemtafsiria ili umjue uso wake umekaaje

tehe tehe tehe kweli hapa shughuli ni nzito,ni uso tu au kuna mahitaji mengine pia coz naweza kukutumia picha kubwa inayoonyesha lijiuso langu murua kabisa
 
Za asubuhi mabibi ma mabwana, najua wengine mtakuwa hamjaamka, hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF sababu watu wanasema ndoto nyingi zina maana.

Sitaki kushushuliwa, nimeona hili swala lina fit hapahapa.
Mimi nimebobea katika kutafsiri ndoto. naweza kukusaidia.
 
Mimi nimebobea katika kutafsiri ndoto. naweza kukusaidia.

yasiwe mambo ya kubaatisha,una uzoefu wa miaka mingapi?kuna mtu hapa kasema anajua kutafsiri matokeo yake anasema ntaanza kuwa napaa angani
 
yasiwe mambo ya kubaatisha,una uzoefu wa miaka mingapi?kuna mtu hapa kasema anajua kutafsiri matokeo yake anasema ntaanza kuwa napaa angani
Mimi ni expert katika hiyo sekta. achana na hao wanaoleta utani.
 
Mimi ni expert katika hiyo sekta. achana na hao wanaoleta utani.

labda tusubiri ntakayo ota leo usiku,asubui nikurushie fasta,ila ya jana siikumbuki vizuri,nakumbuka vipande vipande,naomba utafsiri;
-kuota uko juu ina maana gani?
-kuota uko kwenye maji ina maana gani?
-kuota uko kwenye chombo cha usafiri na watu wengi,baadhi yao siwafahamu baadhi yao ni watu tuliopotezana miaka mingi iliyopita
 
lala, ukiota nisimulie full ndoto then nikupe maana yake kwa ujumla.
 
Kuna ndoto zingine hazifai,unapoota umeokota hela ujue wewe utakufa masikini.
 
Back
Top Bottom