Ndoto za usaliti

Ndoto za usaliti

Kuna wanadamu hasa wanawake wamepewa uwezo mkubwa wa kuota ndoto zenye ukweli.... Mfano mke wangu hata nikimtongoza mwanamke nje asubuhi anatoa ndoto inayoonyesha hayo mazingira japo najitaidi kubisha ila moyoni najua mchezo...Na ndoto zake zimenifanya niwe njia kuu hadi leo.... Pia hata matukio ya hatari yanayoelekea kuikumba familia hasa ya kishirikina anayaota japo mengine tunayatambua baada ya kutokea ila mengi tunayanasa na kuomba huruma ya mungu. Cha kufannya kwa mwotaji ni bora kumwambia mhusika ila kwa kumweleza uhalisia kwamba nimeota ili nafsi imsute na aache njia hizo.

Pia kumueleza ni muhimu sana tena unamueleza kila unapoota, na unamuuliza kwanini naota sana hizi ndoto, hizi ndoto zinaleta wasiwasi zikizidi
 
Pia kumueleza ni muhimu sana tena unamueleza kila unapoota, na unamuuliza kwanini naota sana hizi ndoto, hizi ndoto zinaleta wasiwasi zikizidi
Nakumbuka wifiyo alikuwa ananiuliza hivyo hivyo na kisha anamalizia kama kuna jambo baya unataka kuitendea ndoa yako mungu atakuumbua mchana kweupe... yaani faster nasitisha mashambulizi na ndoto zinakatika....
 
Bora hata wewe mkuu, mie nilikuwa naskia mke wangu live anaota analiwa uroda na jamaa halafu anamwambia mume wangu akijua itakuwa shida sana. Hizi ndoto za kuweweseka hatari sana mkuu. Nilipatwa na hasira kali sana na baada ya kufuatilia tu ilikuwa kweli na tangia hapo siko naye tena mpaka leo. Siji kuoa tena labda nikifikisha miaka 50 nioe mzee mwenzangu.
 
Ndoto inayojirudia rudia sio ya kuipuuzia,narudia tena sio ya kuipuuzia,hapo kuna jambo linaendelea,iko siku utaleta mrejesho...
 
Mkuu ndoto hutokea sehemu tatu,...kwa Mungu unayemuamini, kwa shetani na mwisho ni ubongo wako(mawazo yako).

Kwa shetani na Mungu wako tupaache maana hatujui ndoto yako imetokea wapi, ila angalia wewe binafsi hauko na negative thoughts juu ya mpnz wako???

Kama uko na mawazo hasi ya kukusaliti basi utaota tu anakusaliti maana ubongo hukuletea katika picha kabisa yale uliyoyaingiza kichwani wakat umelala, kwa ushahidi ni ukiangalia movies za kutisha unawezajikuta unaota tena ukiwa umelala.

Hivyo Ondoa negative thoughts juu ya mwenzio uone itakuaje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom