Ndoto za kuuawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto za kuuawa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyakwaratony, Oct 14, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari za asubuhi wadau,
  usiku wa leo nimeota ndoto za kutisha kweli. kwanza nimeota kuwa boss wangu anataka kuniua kwa risasa. ilikuwa hivi "nilikwenda msalani mara boss nae akaja kwenye choo cha kike,wakati bado nashangaa mara akatoa bastola kutaka kunishoot. nilipata upenyo wa kukimbia mpaka ofisi ya jirani ikawa pona yangu" nilistuka usingizini nikapuuza na kusali nikaendelea kulala. je ni nini maana yake?
   
 2. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nilipolala tena nikaota nipo nyumbani kwetu kijijini, mara kaka yangu mkubwa wakishirikiana na mama wanataka kuniua. nilipata upenyo na kukimbia kama kilomita 2. kwa bahati mbaya kaka alichukua gari na kunifatilia kisha akanipata. ile ananifikia tu nikastuka usingizini. wadau je kuna ukweli wowote katika ndoto hizi? msaada tafadhali kwani nimesikitika sana.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Mhh mi simtaalam wa ndoto..subiria watakuja hapa..ila ndoto yako inaogopesha sana..
   
 4. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  umeona mkuu, yaani nimeog npa sana. bora ingekuwa moja. lakini zimekuja mfululizo. usiku mmoja
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Fanya maombi tu, kemea roho ya mauti na kuonewa. Usiwachukie hao uliowaona ndotoni. Kazi ya adui ni kuvuruga, anaweza kutumia any faces ili uwe frustrated zaidi.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika sana,ila inasemekana kuwa Ukishiba sana usiku ni lazima uote ndoto za kujaribu kuuawa.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  acha kuangalia movie my dear
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii ndoto inaonesha kuwa muda si mrefu utapanda cheo sasa sali sana kumuomba mungu afanikishe hilo...
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii inaonesha dhahiri shahiri kuwa utapata mume siku si nyingi hii ni kama ujaolewa na kama umeolewa basi mtapata mtoto hivi karibu dhidisha sana maombi..
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kama movie basi za mavampire..
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mi mwenzio nikilala bila kupiamo angalau ndovu nne ndo huwa naota hivyo usiku kucha
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Upo deep mamito....
  Mleta thread fuata ushauri huu...
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  wanaosema hivyo ni wale wenye uelewa mdogo wa ndoto wapuuzie ndugu yangu...ndoto zina maana haijalishi content yake...
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Na wale wanaoota wanapiga/pigwa gemu ndotoni je?
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  kama unaota unafanya na mtu, basi tambua una upendo(sio mapenzi) na huyo mtu either wa kikaka au kidada
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Inategemea, kwa mfano mimi, kila ndoto ninayoota ni lazima itimie. Hebu jaribu kukumbuka kama ndoto unazoota zimeshawahi kutimia. Otherwise utakuwa uliangalia movie ya kikatili ndipo ndoto za namna hiyo zikakuingia.
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Ok,kwahyo me nina upendo na Kaka yangu?
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  kama uliyekua naye naye ndotoni ni mwanaume(anaweza kuwa kaka au rafiki yoyote wa kiume), then upendo wako na huyo mtu ni wa kaka na dada.
  umenipata eenh?
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  yup sometime huwa tunaota kulingana na tuliyoyashuhudia au kuyawaza kabla ya kulala....human brain ni complex machine...
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Kifikirie alaf jioni kiote!
   
Loading...