Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Status
Not open for further replies.
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

Vijana wengi wanapata nafasi hapa.Tena CCM wana utaratibu mzuri sana kwanı nafası hugawiwa kupitia taasısi zake kuu km UVCCM na Jumuia ya Wanawake.Bulaya na Chifupa,Kamata,Maıge n.k ni mifano halisi.
 
Utashangaa Uwoya anapata halafu Juliana Shonza anakatwa..

Kuna kanunı za chama zinazo-govern hvyo vıtı.Haifanyiki kıholela km upande wa pilı ambapo ni mpaka uwe na vinasaba vya Masaweee!
 
Kwa jinsi ninavyokuaona mkuu, hapo ulipo na wewe unatamani ungekua mwanamke ipata hii nafasi,
 
Kwa jinsi ninavyokuaona mkuu, hapo ulipo na wewe unatamani ungekua mwanamke ipata hii nafasi,
kama ni uwakilishi Lisu anatosha,kama ni ulaji nina kipato kuliko cha stahiki za mbunge
 
Kwa mujibu wa NEC mgawanyo wa viti maalum utakuwa kama ifuatavyo
CCM viti 63
Chadema viti 43
CUF viti 7
ACT na NCCR hawatapata chochote
 
Tuna nafasi nyingi sana za uteuzi kuanzia ukuu wa wilaya,ukuu wa mkoa,ubalozi,ukatibu tawala...... subiri Pombe akabidhiwe rungu teuzi zote za Kikwete za dakika za lala salama tunazifuta mara moja na nafasi ya Juliana itapatikana hapo hapo.
 
Yaani mara hii amekuwa nguli wa siasa?
Hiy tayari ni kondomu iliyotumika
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa
Uh! Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
 
Hapana mpo wrong! Juliana Shonza alishinda kuwa namba 1 ktk mkoa wa kichama CCM wa Songwe na kuna mikoa 31 y kichana na yyt aliyeshika nafasi ya kwanza ataenda

Tumchukie weweeee lkn kuanzia week ijayo Juliana Shonza anapata diplomacy passport sisi wengi hapa tutaendelea ku hold hizi hizi passport za Blue ehehhe

Ukweli unao uma

Mkuu hizo passport za blue ni za nchi gani?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom