Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Status
Not open for further replies.
Mwacheni dada wa watu, hayo ya CCM watamalizana wenyewe. Sijafurahishwa na baadhi ya wachangiaji kuingilia mambo binafsi ya Juliana Shonza. Tufanye siasa za kistaarabu na kiungwana!
 
Last edited by a moderator:
Hapana mpo wrong! Juliana Shonza alishinda kuwa namba 1 ktk mkoa wa kichama CCM wa Songwe na kuna mikoa 31 y kichana na yyt aliyeshika nafasi ya kwanza ataenda

Tumchukie weweeee lkn kuanzia week ijayo Juliana Shonza anapata diplomacy passport sisi wengi hapa tutaendelea ku hold hizi hizi passport za Blue ehehhe

Ukweli unao uma

mkuu unapaspot ya u.s nini
 
Juliana ni Mbunge. Tuache wivu. Hivi Uwoya na Shonza nan zaidi? Tuweni serious kidogo
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

Ndugu,chama chenyewe ni kikongwe,wanapataje fikra za kuweka vijana?na ndiyo fikra hizohizo zinazowafanya waamini kuwa wengine hawawezi kuongoza nchi.
Wanasahau kuw kina Nyerere,Kawawa,Kambona wakati wanachukua nchi hii walikuwa vijana.Ni kwa fikra hizo wako tayari kuua vijana wa nchi hii kwa vurugu zinazotokana na uduni wa utengenezaji wa fursa,na mwishowe wanajibandika haki miliki ya uongozi
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa
Nyani haoni kundule. Hiyo succession plan ipo CHADEMA? Mngekuwa mna succession plan mngekuwa mnaendesha chama kwa kutegemea makapi ya CCM? Wabunge wenyewe wa viti maalum katika bunge lilipopita wote walikuwa ndugu na mahawara wa wakubwa. We kaa ujidanganye eti uko kwenye succession plan hata kama unatoka kanda hiyo hiyo lakini neema yako chamani inategemea Mbowe ameamkaje. Mianasiasa bwana!
 
Kama CCM inatafuta viongozi wa baadae Juliana keshathibithisha anaweza pambana na siasa ambazo ni male dominated she can take a punch and punch back too.

Binafsi sijaona kijana wa kike mwenye uthubutu kwa sasa Tanzania kwa rika lake Juliana ni moto kushinda wote kikubwa kwake ni kwamba aogopi kupambana na wanaume kilichobaki ni platform na sidhani kwa vijana wa rika lake huko CCM kwa sasa kuna anaemzidi kwa uthubutu wake katika hao viti maalum.
 
Jamani kama nimemuelewa Magufuli kwa msemo wake hapa ni Kazi tu anamanisha kweli.vijembe havimuhusu kama huwezi mbiga mbizi.naona ataleta mpango wa Apprisal/perfomance kwa wabunge wa chama lake.Pull up your socks waheshimiwa .....uswahili NO
 
Hapana mpo wrong! Juliana Shonza alishinda kuwa namba 1 ktk mkoa wa kichama CCM wa Songwe na kuna mikoa 31 y kichana na yyt aliyeshika nafasi ya kwanza ataenda

Tumchukie weweeee lkn kuanzia week ijayo Juliana Shonza anapata diplomacy passport sisi wengi hapa tutaendelea ku hold hizi hizi passport za Blue ehehhe

Ukweli unao uma

Diplomatic passport tu! au kuna diplomatic fright pia?? mbona hata sioni umuhimu sana wa hiyo passport kwa siasa anazofanya za kujitoa mpk fahamu kwa hicho chama!
 
Last edited by a moderator:
Mungu amsaidie dada yangu nampenda sana,, tena siku hizi kwa mtu mwema sana
 
1. Viti vipo 103
2. Juliana alikua mshindi wa kwanza mkoa wa Songwe
3. Juliana ataingia bungeni
 
Wafuasi wa Chadema wakati mwingine mpo kama watoto wadogo sasa mnamjadili huyu binti wa nini.
 
chadema juliana inaelekea ni kiboko yenu maana mnavyomsakama dada wa watu dah


anyway hivi hii maada inawahusu pia kina joyce kiria, wolper gambe, mdogo wake hoyce temu au ni kwa ajili ya wanawake ambao wako ccm tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom