Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Status
Not open for further replies.
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

She deserves?
seriously?....kwa mchango upi kwa taifa?
mimi binafsi ningependa viti hivyo vifutwe kabisa
 
Nadhani ni 96 si 92 ccm kila kitu kinawezekana agawe sana kwa awamu nyingine atapata tu.
 
Na alaaniwe atakaye mnyooshea kidole Mzee Lowasa!;Sasa ndio majibu kwa Shonza maana kana mdomo sana!,
 
Mkuu hauko sawa kumdhihaki Juliana pamoja na wenziye walioko Chadema huu ni wakati wa kuwaambia Viongozi wako waache Ubaguzi kupendelea watu wao, hatutaki tena Kaka, Dada, Mkwe huu ni wakati wa kuficha upendeleo.

Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

Viti maalumu ndiyo vitaonyesha Chadema ni chama cha namna gani? Je ule upendeleo utajirudia? itajulikana baada ya muda mfupi
 
Ndugu,chama chenyewe ni kikongwe,wanapataje fikra za kuweka vijana?na ndiyo fikra hizohizo zinazowafanya waamini kuwa wengine hawawezi kuongoza nchi.
Wanasahau kuw kina Nyerere,Kawawa,Kambona wakati wanachukua nchi hii walikuwa vijana.Ni kwa fikra hizo wako tayari kuua vijana wa nchi hii kwa vurugu zinazotokana na uduni wa utengenezaji wa fursa,na mwishowe wanajibandika haki miliki ya uongozi

CCM ina vijana wengi sana kwenye Bunge hili na ktk chama tuache fikra potofu
 
She deserves?
seriously?....kwa mchango upi kwa taifa?
mimi binafsi ningependa viti hivyo vifutwe kabisa

Ulitaka mchango auonyeshe wapi ambako wengine walionyesha? Suala la kufutwa halipo as long as ile Rasimu ya Wananchi imekanyagwa.

Unachotamani hakiwezekani for now.
 
chadema juliana inaelekea ni kiboko yenu maana mnavyomsakama dada wa watu dah

anyway hivi hii maada inawahusu pia kina joyce kiria, wolper gambe, mdogo wake hoyce temu au ni kwa ajili ya wanawake ambao wako ccm tu?

Ni CHADEMA unayoiongelea?
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

Hii nimeipenda!Ahahahahahhaaaa
 
Mimi namkubali sana Juliana SHONZA. Namuombea apate angalau nafasi Fulani ndani ya Chama au serikali kama ninavyomuombea pia yule mtoto wa SOKOINE aliyegombea kule MONDULI.
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

she deserve how ben?? unajua kipind wanakunyima kugombea bavicha nilimaindi sana..!! lakini kuna siku ulipost kuwa huwa unaomba uahauri kwa zito kipind cha escrow, nilishangaaaa...!! zito kawa rafiki kwako leo, na leo shonza. makubwa haya, shonza huyu aliyesaliti harakati
 
Ndio tulishirikiana na akina Zitto,Kafulila na vijana wengine beyond our ideologies

Kuna watu walinishambulia sana public kuwa nashirikiana na wasaliti

Niliwauliza je Kambi ya Upinzani ikiungana na akina Zitto nayo itakuwa inashirikiana na Msaliti?

Mnajua kilichotokea.

Sometimes tunapaswa kusimama na kile tunachoamini linapokuja suala la Tanzania kwanza.

Huo ndio msimamo wangu

Haya turudi kwenye Mada,Ni kitu gani alichokosa Shonza ambacho unaona hastahili ukilinganisha na hao wengine?

Kumbuka unapomuangalia kwa Prism ya usaliti,CCM wanamuangalia kwa Prism ya Ushujaa. Na viti maalum ni kupitia chama chake cha CCM . Hapitii CHADEMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom