Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Mkuu Ngongo Duh! Mahijabu yanaingiaje tena huku? Au ndio yale ya Gwajima Miskiti iwe Sunday School?
Imeshangaza..............!
Mkuu Ngongo Duh! Mahijabu yanaingiaje tena huku? Au ndio yale ya Gwajima Miskiti iwe Sunday School?
Wewe ndiye msaidizi wake?
Wema Sepetu,ndio maana alichaguliwa kuambatana na Samia Suluhu kwenye kampeni wakati Juliana akiishia kutamani nafasi hiyo kama alivyokuwa anaambatana na Mwigulu kueneza matusi majukwaaniDuh ukilinganisha na ya nani?
Kapata huyo dada wa watu. Vp Mtela Mwampamba ye atatoka vp au ndo udc na zile nafasi 10 za mh raisImeshangaza..............!
Tena kapita kwa kishindo sana,jina lake ni la 19 kati ya watu 64
Juliana kapeta tusipende kuhukumu hata majina hatujayaona
Juliana Shonza ndio, lakini huyo muke ya Ndikumana sidhani kama kapenya sijaona jina lake...ccm wana viti 64!!!!!juliana shonza tayari ni mbunge!!pamoja na uwoya!!!malofa kwenye ubora wenu!!!mtaisoma number