Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Status
Not open for further replies.
Mwacheni dada wa watu, hayo ya CCM watamalizana wenyewe. Sijafurahishwa na baadhi ya wachangiaji kuingilia mambo binafsi ya Juliana Shonza. Tufanye siasa za kistaarabu na kiungwana!

Kwani umelazimishwa kuchangia huu uzi? Hutaki sepa
 
Last edited by a moderator:
Mmh namuombea apewe..Siasa sio uadui, Juliana deserves the chance
 
nina uhakika atapata nafasi kubwa sana serikalini..kama sio u RC bas ni u DC....
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa

Vijana wanaochipukia kudanganya watu? Nchi yetu imekosa nini mpaka tutamani kuwa na mbunge kama huyo Juliana? "She deserves" kwa kuwa sasa uwakilishi imekuwa "dili" na hivyo, unatolewa kama zawadi bila kujali matakwa ya wale wanaowakilishwa. Watu hawataki kufanya kazi. Kila mmoja anataka kuwa mbunge na "full time politician". Si madaktari, ma-engineer, waalimu, etc., wote wanataka kuwa "full time politicians", kisa inalipa kuwa mwanasiasa. Na wamesomeshwa kwa pesa nyingi hawa. Sasa, hizo kazi zinazohitaji taaluma mlizosomea, ni nani atazifanya? "The problem with Africa is that many intellectuals have become political sycophants just to go ahead" Prof. K.K. Mwenda
 
Ndio tulishirikiana na akina Zitto,Kafulila na vijana wengine beyond our ideologies

Kuna watu walinishambulia sana public kuwa nashirikiana na wasaliti


Niliwauliza je Kambi ya Upinzani ikiungana na akina Zitto nayo itakuwa inashirikiana na Msaliti?

Mnajua kilichotokea.

Sometimes tunapaswa kusimama na kile tunachoamini linapokuja suala la Tanzania kwanza.

Huo ndio msimamo wangu

Haya turudi kwenye Mada,Ni kitu gani alichokosa Shonza ambacho unaona hastahili ukilinganisha na hao wengine?

Kumbuka unapomuangalia kwa Prism ya usaliti,CCM wanamuangalia kwa Prism ya Ushujaa. Na viti maalum ni kupitia chama chake cha CCM . Hapitii CHADEMA
Leo nimeziona busara zako. Tanzania kwanza!
 
Mimi namkubali sana Juliana SHONZA. Namuombea apate angalau nafasi Fulani ndani ya Chama au serikali kama ninavyomuombea pia yule mtoto wa SOKOINE aliyegombea kule MONDULI.

Yule Binti wa Sokoine hakuna chochote make Bunge lililo isha si alikuwepo mjengoni? ulisha wahi kumsikia? alikuwa Viti Maalumu
 
Akatwe tu kama Lowassa kwani naye ni mvamizi ndani ya CCM. Itakuwa ni ajabu waachwe wakongwe ndani ya chama waliokipigania muda wote halafu wampe mhamiaji - mkimbizi wa kisiasa
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa


Mlikuwa wote kwenye ile saga yenu, kumbe hujasahau mkuu. Bora umekuwa mkweli
 
Watanzania mtabakiaga hivyo hivyo kuombeana "flani" aingie bungeni au kupewa nyadhifa serikalini...Licha ya kuwa hatujui uwezo wake ktk utendaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom