Ndoto za "arinacha"!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,733
26,867
Wakuu poleni na shamrashamra za asbh!!vile vile tumshukuru mungu alietuamsha salama!!
Kama mtakumbuka kuna siku humu kuliletwa tread inayosema!! "Badili mkao wa chumbani kwako"
Sasa wakuu mimikama kawaida yangu wa stendi nikakabadilisha kitanda hapo mwanzo nilikuwa nageukia mashariki mimi nikageuza nukaelekeza kusini! Sasa wakuu tangu juzi nimeabza kuota vitu vya ajabu ajabu!!juzi nimeota nipo kwenye matawi ya miti nakimbizwa na watu lakini hawajanipata maana niliwapa shida sana (nadhani huko waliko wanahadisiana saa hv) jana eti nimeota niko kwenye gwaride mwendo wa pole juu ya mawe! Sasa leo nimeota niko kwenye maji naelea juu ika wenzangu wanateseka sana wanayanywa balaa!!sasa wakuu kila ninaemhadisia anasema hizo ni ndoto za 'arinacha"!!!
Sasa wakuu huyu arinacha ni nani maana tangu zamani nakua nimemsikia sana huyu!!ukiota hata umeokota hela ukihadisia kesho yake unajibi hizo ni ndoto za arinacha!!!!sasa huyu arinacha ni nani anaetesa watu hivyo!!!!
 
Yaan wewe nikiona tred naanza kucheka hata kabla cjaisoma,
Sasa si ubadili mwelekeo wa kitanda kama ushajua ndio sababu?
 
Ndoto za Alinacha haziotwi hivyo namna hiyo
Ndoto za Alinacha ni mawazo ya kufikirika yasiyowezekana, yani mtu amekaa tu hana kazi lakini anawaza kama muda huo akipata milioni kumi zitamtambua , hafikirii atazipataje yeye anachowaza atazitumbuaje
Vijana wengi ni kama Alinacha..simulizi za Alinacha zilikuwa ni kuwaza kupata vitu vikubwa sana lakini akiwa hana kazi wala mipango yoyote ya kupata cash
 
Back
Top Bottom