Ndoto ya harusi ya kila introvert,

Ndoto ya harusi ya kila introvert,

Tupeni mchanganuo watu wasizidi 10.
1.Baba & Mama wa pande zote-4
2.wasimamizi-2
3. ndugu wa bwn & bi harusi-2
3.Marafiki wa bwn & bi harusi-2.
 
Hivi asie bikra inaruhusiwa avae shela jeupe?
Zamani rangi nyeupe ilikuwa inawasilisha, kwamba bado hajaingiliwa/mwana mwali. Siku tunavaa tuu ila hairepresent purity ya binti, ila zamani shela lilikuwa Kina represents purity kwa mwanamke.
 
Ndio Paln yangu hiki kitu waga kinaniwazisha sana basi tu sipendi Mkusanyiko wa wengi hasa hizo sherehe
 
iko poa sana hiyo, mimi bora hata ndoa ifungwe jf, Padre anaanzisha uzi halafu mimi na mke wangu tunareply inaisha hiyo
 
Back
Top Bottom