"ndOTO" naipenda kuliko chochote

"ndOTO" naipenda kuliko chochote

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
600
Reaction score
97
Sio eti kisa yupo na mie ndo iwe sababu ya kunila.mi bado sijafunguliwa,naitunza aje aikute asiamini.
Na kama ndoto hufungua basi nimefunguliwa zaidi ya mara 60.
mimi ni mama wa "Emmanuel" niombeeni nisije vurugwa

unapenda ndoto gani rafiki?
 
Napenda niote nagegeda nishtuke nishapiga bao, inanisaidia sana kupunguza ukali. Mfano hapa natoka kuoga baada ya kujitupia bao zitooooo! maisha yanasonga njia hii ni nzuri sana no ukimwi wala sti/std's.
 
sasa hapo ukiwa na mkeo kwa bed au?
 
Napenda niote nagegeda nishtuke nishapiga bao, inanisaidia sana kupunguza ukali. Mfano hapa natoka kuoga baada ya kujitupia bao zitooooo! maisha yanasonga njia hii ni nzuri sana no ukimwi wala sti/std's.

hata mimi penda sana hiyo ndoto
 
leo nimeota nasafiri naenda nairobi yan nlikuwa nafurahi mweh hata cjafika nkashtuka sizipendi ndoto smtmz
 
napenda kuota...nipo bustani ya adern ethiopia...with nyabingi with rasters tofauti huku fire ikiwa ana burn tumeizunguka,kama vile bagamoyo
 
Napenda kuota JF inafungiwa alafu tunarudia zama zile za Analogy za kuandikiana Barua, nazo zina raha yake ati...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom