Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
Kemea kwa jina la Yesu. Hamna tukio baya linalotupata bila ya sisi kuwa na taarifa. Miongoni mwa vileta taarifa ni pamoja na ndoto na njia nyingine zisizo rasmi a.k.a machale.Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br /><br />Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
sio majinamizi wala majinawizi ni SLEEPING APNEA yaani ubongo haupati oxygen ya kutosha unapolala hebu kagua madirisha ya chumba chako, nguo za kulalia kama zinabana, jinsi unavyoweka kifua na shingo nk. Kwa ufupi akikisha unapata hewa ya kutosha
We mvivu wa kusali au? Mfupa wa nini wakati ushasema ukisali ndoto haiji? Ongeza kusali bana, achana na mambo ya mifupa...je kama nikiweka mfupa wa kitimoto ndani mwangu si ni kinga?