Ndoto hii jamani inanitesa

Ndugu kuna matatzo yanayokukabili ktk maisha yako ya kila siku na inaonekana unashindwa kuyapatia ufumbuzi! Tafuta ufumbuzi La sivyo yatakutangulza mapema!
 
Jamani naombeni mniombee kwa mungu baba kwa mana wakati unakuja ambapo hakuna hata mmoja wetu aijuaye saa ile,
 
sio majinamizi wala majinawizi ni SLEEPING APNEA yaani ubongo haupati oxygen ya kutosha unapolala hebu kagua madirisha ya chumba chako, nguo za kulalia kama zinabana, jinsi unavyoweka kifua na shingo nk. Kwa ufupi akikisha unapata hewa ya kutosha
<br
Mkuu upo kisayansi/kiuhalisia zaidi. Ni kweli kabisa, lakini pia anavyosema Flora ni kweli kwani ss wa-lslam na walokole tunaamini mipepo ipo, na inaogopa sana kitumoto. Mimi Muislam wa kawa na yule mdude nakandamiza kama kawa, na hata walokole wa kawa vivyo hivyo. lslam wa siasa kali na walokole waliobobea ni full mapepo, hawagusi kabisa hiyo kitu.
 
Kumbe tatizo umeshalijua kuwa ni sala. Jitahidi kusali kabla ya kulala.
 
Nimejaribu kuwaza hivi:

Siku unapokuwa hujachoka unapata muda wa kusali na kumshukuru Mungu kwa siku n.k....pia jinsi unavyojilaza kitandani ni taratibu such that unaweza kuji-position vizuri mpaka unapata usingizi.

Siku nyingine unakuwa umechoka sana hata muda wa kusali unakosa (au wakati mwingine usingizi unakupitia wakati unasali). Siku kama hizi hata muda wa kujilaza vizuri huna hivyo unajikuta umelala in unfavourable positions...leading to the dreams u dream at such days!!!
 
Back
Top Bottom