Ndoto hii jamani inanitesa

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
 
Ni tatizo kaka. Ila sijui ni nini! Please nenda kaombewe kama uma amini kuhusu maombi. Na kama huamin kusu maomb dah...
 
Google kwenye dream interpretation ni bure utapata what other people say.
Kila la kheri.
 
Kama umeshajua kuwa tatizo nikuto sali,basi ongeza juhudi za kusali na kumuomba mungu///Hakika yeye ndiyo jibu la kweli.
 
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
Kemea kwa jina la Yesu. Hamna tukio baya linalotupata bila ya sisi kuwa na taarifa. Miongoni mwa vileta taarifa ni pamoja na ndoto na njia nyingine zisizo rasmi a.k.a machale.
Damu ya Yesu ndio kitu pekee kitupacho ulinzi na kutuepusha na majanga yote.
Kumtegemea Mwokozi kwangu tamu kabisa,
kukubali neno lake, nina raha moyoni.
Yesu, Yesu namwamini, nimemwona thabiti.
Yesu. Yesu yu thamani ahadi zake kweli.
 
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
&amp;amp;lt;br /&amp;amp;gt;&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;amp;lt;br /&amp;amp;gt;
 
halafu kuna saa ingine inakuwa kama nataka kuamka baada ya mshituko lakini ikawa kama m2 ananiwekea dawa ili nirudi usingizini au nikose nguvu ya kuamka ili nimuone!
 
sio majinamizi wala majinawizi ni SLEEPING APNEA yaani ubongo haupati oxygen ya kutosha unapolala hebu kagua madirisha ya chumba chako, nguo za kulalia kama zinabana, jinsi unavyoweka kifua na shingo nk. Kwa ufupi akikisha unapata hewa ya kutosha
 
Pole sana nakushauri uwe unaswali coz umeshajua tatizo ni ukiwa hujaswali so wht swali sasa.
Nothng can power thn god trust him he is the great.
 
sio majinamizi wala majinawizi ni SLEEPING APNEA yaani ubongo haupati oxygen ya kutosha unapolala hebu kagua madirisha ya chumba chako, nguo za kulalia kama zinabana, jinsi unavyoweka kifua na shingo nk. Kwa ufupi akikisha unapata hewa ya kutosha

Huyu bwana anasema akisali haoti, kwa hiyo ingekuwa ni swala la namna anayolala au hewa , labda angekuwa anaota hata akisali. Lakini unachosema ni kweli kama chumba hakina hewa ya kutosha na ulalaji sio mzuri kwa shingo au kubanwa na nguo , hiyo yaweza kuwa sababu.
 
Back
Top Bottom