eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?

mh! hii ndoto nimeipenda...Mimi niliota nakimbizwa na shangazi na yeye alikuwa na uwezo wa kunikamata tu endapo nitapita kwenye kivuli iwe ni chini ya mti au kivuli chochote, basi nilikuwa nakwepa vivuli kama nini, nikiona kivuli tu nakula kona na kurudi juani.
Ilikua mbayaaa kwa upande wangu .... Nilikua nime disco.... Stress na uchungu nilopata ulikua so vividi kana kweli vilee.... Siwezi sahau nahisi....
Naomba msinicheke wadau, ndoto nisiyoisahau ni kama mwaka unusu nyuma, that day bwana niliota naliwa kisamvu cha kopo, kila nikikukuruka niamke wapii, mwisho nikashtuka, kilichoninyima raha kwa siku kadhaa mbele ni kuamka ilhali jicho la tatu linauma, jumlisha na ndoto yenyewe basi nilikosa amani mpaka basi. Mweh!
kuna siku niliota nachezea barcelona, Mjomba Messi akaweka maji maji moja mzee nikajirusha hewani nikaweka bonge la utosi! kulaleki! kumbe nimemdunda kichwa waifu. Nashkuru tulikuwa tunaishi karibu na hospitali.Dah! Tutubuni zambi zetu wakuu
Naomba msinicheke wadau, ndoto nisiyoisahau ni kama mwaka unusu nyuma, that day bwana niliota naliwa kisamvu cha kopo, kila nikikukuruka niamke wapii, mwisho nikashtuka, kilichoninyima raha kwa siku kadhaa mbele ni kuamka ilhali jicho la tatu linauma, jumlisha na ndoto yenyewe basi nilikosa amani mpaka basi. Mweh!
Niliota nimempiga Invisible hadi akaniomba msamaha na kusema hata nitukane vipi jf sipewi bun :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: