Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,296
- 7,603
Kuna kitu huelewi.
Kwenye vitu vinavyohitaji nguvu umri ndio factor kuu, asikudanganye mtu. Mpira au ngumi umri ni jambo la muhimu kuliko chochote.
Binadam yoyote anakua kwenye peak ya ubora wake wa nguvu kwenye miaka 20 hadi early 30s, baada ya hapo nguvu zinaanza kuisha.
Ndio maana kwenye mpira hata uwe mzuri vipi ukifikisha miaka 30 ubora wako unaanza kupungua, sio kwa sababu unataka ila kwa sababu umri unakataa.
Miaka 20 na 40 utawalinganisha kw alipi, huyu yuko kwenye peak na huyu yuko kwenye deminish, hawawezi kua sawa.
Asikudanganye mtu, age matters.
Van de sir, Petr cech, Meddie kagere
hawa wana exemption sio