LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,141
- 11,166
Hapana mkuuWamempa mzee kabisa,apambane na kijana wa miaka 24,sijafurahia pambano coz mzee kachoka kabisa huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashinda kitoto sana sio siri hakuna punch ya maana iliiyomkalisha huyu babu..Ameshinda kitoto sana sijapenda next time akaze kamba.View attachment 1052550View attachment 1052551
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko mwakinyo anashinda round ya tano Kwa k.o pambano limeisha!!
Yes umeongea vizuri , mwakinyo has a good height with heavy punchNampongeza kwa ushindi ila ni vyema kuutazama uhalisia wa vigezo na kiwango kuliko kumkweza mtu kwakua tu ni mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's tiger broHuyu jamaa Rodriguez wamemuokota wapi dah
Kampiga mtu?Asante sana Hassan kwa kupeperusha vyema bendera ya TZ boxing, ntakuona chumbagen kama kawaida yetu
Sent using Jamii Forums mobile app