Ndondi: Mtanzania Hassan Mwakinyo amchapa kwa TKO Sergio Gonzalez kutoka Argentina

Kuna kitu huelewi.

Kwenye vitu vinavyohitaji nguvu umri ndio factor kuu, asikudanganye mtu. Mpira au ngumi umri ni jambo la muhimu kuliko chochote.

Binadam yoyote anakua kwenye peak ya ubora wake wa nguvu kwenye miaka 20 hadi early 30s, baada ya hapo nguvu zinaanza kuisha.

Ndio maana kwenye mpira hata uwe mzuri vipi ukifikisha miaka 30 ubora wako unaanza kupungua, sio kwa sababu unataka ila kwa sababu umri unakataa.

Miaka 20 na 40 utawalinganisha kw alipi, huyu yuko kwenye peak na huyu yuko kwenye deminish, hawawezi kua sawa.

Asikudanganye mtu, age matters.

Van de sir, Petr cech, Meddie kagere

hawa wana exemption sio
 
Hapo uko sahihi mkuu, ingawa sio mara zote hiyo formula inaaply, ukiangalia mwakinyo alimzidi jamaa stamina na pumzi
 
Kuna kitu huelewi.

Kwenye vitu vinavyohitaji nguvu umri ndio factor kuu, asikudanganye mtu. Mpira au ngumi umri ni jambo la muhimu kuliko chochote.

Binadam yoyote anakua kwenye peak ya ubora wake wa nguvu kwenye miaka 20 hadi early 30s, baada ya hapo nguvu zinaanza kuisha.

Ndio maana kwenye mpira hata uwe mzuri vipi ukifikisha miaka 30 ubora wako unaanza kupungua, sio kwa sababu unataka ila kwa sababu umri unakataa.

Miaka 20 na 40 utawalinganisha kw alipi, huyu yuko kwenye peak na huyu yuko kwenye deminish, hawawezi kua sawa.

Asikudanganye mtu, age matters.
Sure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Van de sir, Petr cech, Meddie kagere

hawa wana exemption sio
Naongelea profession, sio ligi ya mchangani hii ya hapa Bongo ya huyo kagere.

Na hao uliowasema kina peter na van de sir katika miaka ya 30s hawakua bora kama walivyokua kwenye 20s. Pili ni magoli keeper, muda wote wako golini na kukimbia kimbia uwanjani, mpira unaweza kukaa upande mwingine au katikati kwa hata dakika 10 haijaja huku kwako unakua unakula tu upepo.

Haina maana kua ukiwa kwenye late 30s to 40s ndio umekwisha kabisa ila nachosema uwezo wako unapungua kwa kiasi kikubwa sana. This thing is obvious wala hatuhitaji kusema mengi sana.
 
You are very right sana Kwenye Age Kaka, Ur brief analysis has won my respect.
Mwakinyo has exposed biggest BOXING quality gap.He also has a defensive quality gaps.He is more a FIGHTER like Bruce Seldon, Mike Tyson. Also He need to be more BOXER like Lennox Lewis,Mohammed Ally. He need to adjust his BOXING and FIGHTING techniques to get the best out of all. It is time now to work on highlighted weaknesses on coming training and games

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongelea profession, sio ligi ya mchangani hii ya hapa Bongo ya huyo kagere.

Na hao uliowasema kina peter na van de sir katika miaka ya 30s hawakua bora kama walivyokua kwenye 20s. Pili ni magoli keeper, muda wote wako golini na kukimbia kimbia uwanjani, mpira unaweza kukaa upande mwingine au katikati kwa hata dakika 10 haijaja huku kwako unakua unakula tu upepo.

Haina maana kua ukiwa kwenye late 30s to 40s ndio umekwisha kabisa ila nachosema uwezo wako unapungua kwa kiasi kikubwa sana. This thing is obvious wala hatuhitaji kusema mengi sana.
Sure! Kadri age inavyozidi kuwa kubwa, mwili wa bondia hupoteza resiliency japo wapo mabondia wachache sana waliofanya vizuri ktk umri mkubwa. Mfano ni George Foreman. Foreman (45) mnamo mwaka 1994 aliweza kumtoa Michael Moore (26) kwa knock out. Aliyesema 'the age is boxer's natural opponent' hakukosea maana miaka mitatu baadaye huyu huyu Foreman (48) alipambana na Shannon Briggs (26) mnamo 1997, na Foreman hakufua dafu kwa Briggs ndipo alipogundua kuwa umri umekuwa mkubwa akaamua kutundika gloves.
 
Good! You took me back in years.

Soma hii article ya New York Times ya Nov 29, 1981 inazungumzia kitu hicho hicho ulichokitaja cha age is boxer's natural opponent. Na hii not only boxers, ni kwa kazi zote zinazohitaji nguvu kama football, cricket, Tenis, Volleyball, etc.
AGE IS A BOXER'S NATURAL OPPONENT

Tunaompenda Ronaldinho tungependa aendelee kucheza mpira hata sasa ili tuendelee kupata burudani ila umri ulimkataa, as age comes an athlet loose the ability to bounce back, quick recovery from an injury na mambo kama hayo.
 
Sawa kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

mi nimemkubali yule mangi kimaro aliyeingia kupambana kabla ya mwakinyo

sijui alikula mbege kabla ya pambano,maana kala mawe hadi anataka kulia
 
Mwakinyo anashusha ngumi nzito sana, yani akifanikiwa tu kuattack ngumi zaidi ya tano mfululizo opponent lazima akae...

Ila pia nimefurahia fight ya wale mabinti Fatuma Zarika (Kenyan) vs Catherine Phiri (Zambian)... Zarika alishinda kwa points lakini laiti huyu mzambia angeweza kutupa ngumi nzito basi hii ilikuwa ni game yake tena kwa knockout..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom