Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,967
- 194,043
Ila utam unamuomba ndo itakiwavyo ila sisi lazima tujitambue kuhudumia pia mana wengine wakipata myeremko wa hivyo anaeza kukuletea hata mdogo wake uleeYaani hilo suala ni gumu sanaaa
Kumuomba mwanaume hela kisa anakukunja, hapana jamani...
Hahaha Mkuu STUNTER, Nadhani wanawake wangekuwa na utajiri wa kutisha maana wanaume 50 hivi wanamuhudumia mwanamke mmoja.Nawaza tu kwamfano wanaume ndo tungekuwa wengi Duniani kuliko wanawake, sijui hali ingekuwaje
Tayari wameshakuvuruga hawa viumbe. Cha msingi ukitoa hata elfu kumi dai RISITI wapo mzigoniMwanamke anamuita mpenzi wake,
''Baby, njoo
unifuate mjini nimekumiss,''
unatoka Tegeta
unaenda posta, unapita sheli unaweka
mafuta,
mengi tu,...haya umemchukua mmeenda
hotelini kupiga mechi ya mchangani, hoteli umelipa
mwanaume tena ye katulia tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya
Ufufuo,
viuno unakatika wewe tu kama Nyoshi el
Saadat...
haya, Makelele wakati wa mechi tupige
wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka kuliko
wewe...
Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala, mafuta tena maana gari haitumii Nivea lotion...
Halafu bado
tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za
nini na nini, ukimnyima anasema eti unanitumia
unadhani nakupa bure...
khaa, sasa nilipie nini
wakati raha tunasikia wote?
Na makelele nimepiga
mimi zaidi yako, na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa Band? Mahusiano ya Kimapenzi
sometimes ni kama Master and Slave hivi,
kuna
mmoja atakuwa tu mtumwa, ndo maana Wanaume
hawajengi,
halafu mnawasema, watajenga saa
ngapi? ndo maana wanaona bora wabahatishe
kununua magari ya mikopo, maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,
usipotoa na
kipochi manyoya hupati.Kweli uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
TehHahaaaaaa kwani na wewe unapigagga kelele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana huo mstari umenivutia haswaaa
Ndio hivyo mpendwaAfadhali Mpendwa Joanah umeona hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh
Hizo lazima maana ni chachandu kwenye mchezo
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu, lakini unatakiwa utambue kwamba kwasasa nyakati zimebadilika na hata mifumo ya maisha imebadilika,Nakishauri uoe ndugi yangu. Ukishaoa tulia na mke wako. Haya yote na shida hizo zoote hautakuja kuzipata.Kwa mkeo papuchi ni muda wowote unaotaka.Huna haja ya kulipia chumba hotelini na bra braa ya kujaza mafuta na upuuzi mwingine. Oa,oa,oa,oa. Ukishaoa kuwa mwaminifu kwa mke wako.Usipepese kwingine.Ukiona mwanamke mrembo akakupandisha nyege nenda kazimalizie kwa mkeo. Maendeleo yatakuja na hutapat gharama za kijinga.Tanzania wengi hatupigi maendeleo kwa kuendekeza NGONO. Usiponielewa hapa hutanielrwa milele.Nakutakia umaskini mwema kama utaendekeza NGONO
Yeah, sio wanawake wote wenye hizo tabia, ila sasa kuna wengine wana viherehere kupita kiasi