Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,190
hata mm kuomba aisee kimenishindaAaah
Mie sikuombi ila ujiongeze unipe bhana...
hata mm kuomba aisee kimenishindaAaah
Mie sikuombi ila ujiongeze unipe bhana...
Stunter SIO KAMA UMEFUNIKA',"" UMEZIKA KABISAA HAHAHAMwanamke anamuita mpenzi wake,
''Baby, njoo
unifuate mjini nimekumiss,''
unatoka Tegeta
unaenda posta, unapita sheli unaweka
mafuta,
mengi tu,...haya umemchukua mmeenda
hotelini kupiga mechi ya mchangani, hoteli umelipa
mwanaume tena ye katulia tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya
Ufufuo,
viuno unakatika wewe tu kama Nyoshi el
Saadat...
haya, Makelele wakati wa mechi tupige
wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka kuliko
wewe...
Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala, mafuta tena maana gari haitumii Nivea lotion...
Halafu bado
tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za
nini na nini, ukimnyima anasema eti unanitumia
unadhani nakupa bure...
khaa, sasa nilipie nini
wakati raha tunasikia wote?
Na makelele nimepiga
mimi zaidi yako, na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa Band? Mahusiano ya Kimapenzi
sometimes ni kama Master and Slave hivi,
kuna
mmoja atakuwa tu mtumwa, ndo maana Wanaume
hawajengi,
halafu mnawasema, watajenga saa
ngapi? ndo maana wanaona bora wabahatishe
kununua magari ya mikopo, maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,
usipotoa na
kipochi manyoya hupati.Kweli uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
'Wanaume tumeumbwa matesoo mateso kuvumilia'
Hamna namna.
HahahhhNitajulia wapi kama ametangaza..
Namwachia Mungu tu mimi
RealHahahhh
HahahhInabidi sasa muanze kuanzisha chama chenu cha wanawake wenye huruma, nakuhakikishia baada ya dakika mbili nyote mtakuwa mmeolewa
Na huu usawa unavyobana basi ndo wamechanganya mwendo hatari,
Ndio hivyo baaria kukaza ukisema uanaume kazi basi unaweza kuachana nao na ukafanya ishu nyingineMwanamke anamuita mpenzi wake,
''Baby, njoo
unifuate mjini nimekumiss,''
unatoka Tegeta
unaenda posta, unapita sheli unaweka
mafuta,
mengi tu,...haya umemchukua mmeenda
hotelini kupiga mechi ya mchangani, hoteli umelipa
mwanaume tena ye katulia tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya
Ufufuo,
viuno unakatika wewe tu kama Nyoshi el
Saadat...
haya, Makelele wakati wa mechi tupige
wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka kuliko
wewe...
Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala, mafuta tena maana gari haitumii Nivea lotion...
Halafu bado
tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za
nini na nini, ukimnyima anasema eti unanitumia
unadhani nakupa bure...
khaa, sasa nilipie nini
wakati raha tunasikia wote?
Na makelele nimepiga
mimi zaidi yako, na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa Band? Mahusiano ya Kimapenzi
sometimes ni kama Master and Slave hivi,
kuna
mmoja atakuwa tu mtumwa, ndo maana Wanaume
hawajengi,
halafu mnawasema, watajenga saa
ngapi? ndo maana wanaona bora wabahatishe
kununua magari ya mikopo, maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,
usipotoa na
kipochi manyoya hupati.Kweli uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutaendeleje wakati we mwenyewe hata kichwa cha habari kimekushinda
Teh tehhivi kukatika ndio sheria eenh
vipiiiiiTeh teh
hiyo avatar mpya ndio nani tenaTeh teh