Ndomana hatuendelei, kumbe sababu ni hii

Ndomana hatuendelei, kumbe sababu ni hii

Nakishauri uoe ndugi yangu. Ukishaoa tulia na mke wako. Haya yote na shida hizo zoote hautakuja kuzipata.Kwa mkeo papuchi ni muda wowote unaotaka.Huna haja ya kulipia chumba hotelini na bra braa ya kujaza mafuta na upuuzi mwingine. Oa,oa,oa,oa. Ukishaoa kuwa mwaminifu kwa mke wako.Usipepese kwingine.Ukiona mwanamke mrembo akakupandisha nyege nenda kazimalizie kwa mkeo. Maendeleo yatakuja na hutapat gharama za kijinga.Tanzania wengi hatupigi maendeleo kwa kuendekeza NGONO. Usiponielewa hapa hutanielrwa milele.Nakutakia umaskini mwema kama utaendekeza NGONO
 
Mwanamke ambaye hujamwoa bado ni hawara ni kama makahaba wengne tu, sema huyo ni kahaba unayekuwa naye mara nyingi, kwa hyo kila ukisex naye ni lazima umpe hela, ukitaka kuepuka adha hiyo muoe.. Over.
 
Yaan mi mapenzi ya ivi nashindwa,unaweza muudumia manzi kila kitu badae unakuletea kiburi,majivuno na dharau,..sasa kama wew una weakness ase utateseka buree,...mapenzi hayanzii kweny pesa yananzia moyoni,
Aisee Well said mkuu, hiyo kweli kabisaa
 
Tutafanyajee sasa na nisipokuridhisha unaenda kunisema kwa mashoga zako.. kumbe haujui hapo nilitoka kubeba box nimechoka ili kidogo upate za usafiri
Hahaaaaaa kwani na wewe unapigagga kelele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana huo mstari umenivutia haswaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom