Ndoa zina matukio jamani

KATAA NDOA

wanaenda kushinda hii ligi
Hakuna ushindi wowote, michango ya harusi kila kona, Watu wanafunga ndoa mpaka na yule dada anaitwa biriani sijui.

Ndoa zitaendelea kufungwa na zitaendelea kuvunjika na zipo zitakazodumu.

Kataa ndoa wanajaza maji kwenye gunia.
 
Hakuna ushindi wowote, michango ya harusi kila kona, Watu wanafunga ndoa mpaka na yule dada anaitwa biriani sijui.

Ndoa zitaendelea kufungwa na zitaendelea kuvunjika na zipo zitakazodumu.

Kataa ndoa wanajaza maji kwenye gunia.
Mwaka 2020 pekee Dar kulikuwa na talaka 200. Na hizo ni zile zimesajiliwa Rita.


Naomba unipe takwimu ya ndoa zinazofungwa dar Ili tutafute mlinganyo wapi mzani umelala
 
Tatizo wanaume wa sikuhizi ni wabishi sana.
unaanza na mtu 0 mwenzio akipata anawaza mademu hapo ndo tunachoka hata kujaribu
Shida ni Wanawake wengi hamjui mahitaji Muhimu ya Mwanaume ni yapi? Ukiona mtu akipata Pesa anakukimbia Jua Ujui mahitaji yake sema wkt yupo zero alikubali kuvumilia maana kupata demu wa kukuelewa ukiwa na migogoro na Pesa ni Ngumu sn.
 
Mwaka 2020 pekee Dar kulikuwa na talaka 200. Na hizo ni zile zimesajiliwa Rita.


Naomba unipe takwimu ya ndoa zinazofungwa dar Ili tutafute mlinganyo wapi mzani umelalaView attachment 2781960View attachment 2781961
FIKIRIA BASI MKUU KABLA YA KUJIBU HOJA. Kuna talaka zinazotolewa bila ndoa kufungwa?

Mm nimesema ndoa zitaendela kufungwa sio ndoa hazitavunjika. Sasa kuleta takwimu za ndoa nyingi kuvunjika si tayari ushakubali kuwa ndoa nyingi zinafungwa?

KATAA NDOA WANAJAZA MAJI KWENYE GUNIA, WATU WANAOA TU NA MICHANGO KILA SIKU.
 
🤝🤝Yes wanasahau kuwa Kila kitu ni Cha kiroho kabla hakijawa Cha kimwili kwanza
 
Labda wewe ndio hujui logic ya kataa ndoa Nenda kajifunze!


Sasa kama unafunga ndoa mamilion na inavunjika lengo la ndoa ni nini ?


Yani unakubali ndoa siku hizi zinavunjika ila huoni logic ya watu kukataa ndoa. Una kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…