Ndoa zina matukio jamani

Tatizo ni watu kutokua tayari kuachana na ma x zao, pili ni watu kukosa upendo wa kweli zaidi ya tamaa za sura nzuri na tako. Uzuri huisha lakini pia ndoa ni sacrifice kwa maana lazima uachane na anasa,starehe za kidunia ili ndoa idumu.
Matatizo ni mengi ndugu.kikubwa busara na uvumilivu
Ndoa ni mapatano ya watu wawili,na mkubaliano.tmekubaliana tutamove on na kuachana na maex we inawasiliana nao unatarajia nini

Hapo kwa kupemda muonekano sio tabia nako ni kipengele kingine
 
Wanawake wanapoambiwa swala la ndo wanaweka matarajio mkubwa mno Kuna Ile kuolewa umri umeenda na kuolewa kuleta heshima home na kuolewa sababu ya love ila wanachokikuta ni vitu kinyume na matarajio ndo maana majuto ni meng sana
 
Ndoa ni kati ya matendo ya ajabu kuwahi kuwepo hapa ulimwenguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…