Ndoa za wasomi

Kama hupendwi ndio utasanda Mkuu. Mwanamke akikupenda hata angekuwa ni Rais hana changamoto za kumtingisha mwanaume. Halikadhalika Mwanaume.

Hivyo tafuta mwanamke/mwanaume akupendaye uone utamu wa maisha.

Hata mkiachana ila Kama mlikuwa mnapendana ni Kama Zimwi likujualo
 
Hivi mnaposema udaktari wake/masters yake inaishia getini mnamaanisha Nini?? Kwani wanakujaga kuwaprizentia theisis zao humo ndani!!

Bashitez.

Basically mnachoongelea hapa ni kazi za nyumbani. Wanaume mnataka kukaa tu mkiangalia wake zenu wanazifanya, Sijui ndo mnajihisi wanaume!!

Furushiz.

To each his own. Tafuta wa kufanana nawe.
 
Inaweza kua hujaeleweka na hujaelewa wanaposema elimu yake inaishia getini
 
oa mwalim wewe

*utatukumbuka tunao kupa ushauri

 


 
mwanamke msomi ni wazuri kama utakuwa na sifa hizi...
1. uwe msomi kama yeye au umzidi kidato..

2. uwe na mshahara uliomzidi au mfanane..

3. uwe unajielewa kwake yaan kila wazo lako liwe positive...

4. ujiamini kwake mambo ya wivu wa kijinga na kumpelekesha pelekesha hawapendi..!!!!
 
shida sio elimu shida ni nidhamu yake atakayo kua ametoka nayo kwao
 
theory hizi weweunamke msomi?
 
labda nikwambie kitu mitihani yote ya kitaaluma inafanana lkn mitihani ya maisha ktk ndoa au maisha haifanani na km haifanani huwezi kuangalizia kwa mwenzio.
hivyo wew ingia tu kwakuwa mitihani utakaoupata kwa mke wako hautafanana na wakwangu utajua tu Namna ya kuutatua usiogope bro.
 
Kwa kweli wanawake waliosoma kufika ngazi ya shahada moja na zaidi ni shida kwenye ndoa,wanapenda kuwatawala waume zao, kila kitu anaachiwa house girl, ni nadra sana kupika, anaweza pika chakula akajipakulia yeye akala, wewe mume ukaambiwa uende mwenyewe jikoni ukajipakulie, wakati wa baridi anapasha maji moto anaoga yeye, mume unaoga ya baridi, harafu anapokosea ukimwonya linazuka zogo we mume unaongea na yeye anakuja juu, anaweza kubishana na mume hata mbele ya wageni, ninaongea haya mimi ni muhanga.
 
sina mke msomi kiivyo wa kawaida tu ila kuna nilipochepuka chepuka huko ndo nikapata ka uzoefu kidogo..!!!
usishauri kama huna mke sisi tunaulizia mwenye mke

Mimi mke wangu ana masters mimi nina Degree na heshima anayo yakutosha tu na sio kwamba nina kipato zaidi ila malezi tu alivyo yeye.
 
Kitu malezi tu alikokulia kama malezi babovu hata asipo soma bure tu
 


Hehe, asee, mtu kusikia 'utoto' akajihisi.
Nashukuru umelisema hilo la kupiga wanawake kuwa ni inferiority complex. Kupiga mwanamke ni uboya usio kipimo.
 
usishauri kama huna mke sisi tunaulizia mwenye mke

Mimi mke wangu ana masters mimi nina Degree na heshima anayo yakutosha tu na sio kwamba nina kipato zaidi ila malezi tu alivyo yeye.
mna muda gani kwenye ndoa yenu... na pia kumbuka sio kila mwanamke msomi yupo hivyo ila wengi wao tena kwa asilimia 80% ndo ipo hivyo..!!!!
hayo malezi unayasema wewe mkuu..!!!
 
do! majibu ninayo mengi sijui nitaishia wap?
ukweli kama unapenda challenge huwezi kuogopa kuoa mwanamke msomi kwa kuwa anauwezo wa kujenga hoja vizuri na sikakusaidia kufanya maamuzi vizuri ila kama wewe ni kilaza si kwa maana ya shule unaweza pelekwapelekwa na matokeo yake usitoboe!
kwa mtazamo mwingine wanawake waliosoma wengi ni washamba(hapa povu litawajaa) wako zaidi katika maisha ya tamthilia mara nyingi wanapenda vitu vifanyike haraka ikiwa resource sinazotumika ni chache (huwe tayari kufanya long term plan investment kama kuwa gari,nyumba nzuri ,pesa kwa raslimali za shortrun mshahara) matokeo yake ni shida kwa kuwa utadharauliwa!
mwisho hakuna fomula kila mtu anaweza kutengenezwa kadri ya uhitaji wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…