Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Kumbuka Mungu hakuumba adam na wakina Eva aliumba Adm & Eva tu angeumba wanawak wawili nahs hapo ingekuwa ruksa kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wajua kabla ya Adam kulikuwa na watu wengine? Hivyo yawezekana kauli yako ya kuwa Mungu aliumba Adam na Eva tu ikawa na walakini kwa vile inawezekana kabisa kulikuwa na kina Eva na sio Eva tu.