Uisilamu ambao uko pwani zaidi, wanawake wa pwani mafundisho yao na jukumu lao kubwa ni kumjali/kumtunza mume pasipo na vigezo/masharti yeyote.
Huku juu ambapo labda ukristo upo zaidi, wanawake hawafai hata kidogo hawajafunzwa kumjali wala kumuheshimu mume, wamejaa viburi, ubabe, yaani haiba ya kike haipo[emoji38][emoji38][emoji1]
Wanawake wa pwani ni nafuu sana kuliko hawa wengine
Nilishakuwa na mke wa huku juu, hakuna rangi niliacha ona.
Mwisho nikaenda oa huko pwani aisee kuna utofauti mkubwa sana, nashukuru Mungu mke nimepata