Ndoa za kikristo v/s ndoa za kiislamu

Ndoa za kikristo v/s ndoa za kiislamu

Je, kuruhusiwa kutoa talaka na kuongeza mke ndiyo kunafanya ndoa zenu za kiislam kudumu zaidi na kuonekana zenye furaha kuliko hizi za kikristo au kuna kingine cha ziada mkuu?
Ukiachana na mafunzo yao huenda utoaji talaka na kuongeza mke ikawa inasaidia(japo mke zaidi ya mmoja sioni kama ni nzuri sana)

Mtu anaweza fanya madudu ndani ya ndoa sababu tu anajua hakuna kutengana na nipo peke yangu na jinsi wanaume tunavyo julikana kuwa tunawaitaji zaidi wanawake kuliko wao kutuitaji sisi ndo inakuwa balaha zaidi
 
Mbona mikoa yenye waislam wengi Ndiyo yenye kuongoza kwa talaka kwa mujibu wa takwimu?!
 
ea3cb6dd-d7f4-45ab-9829-8870ade801fd.jpg
 
Mimi ni mkristo lakini waisilamu Wana heshima sana Kwa waume zao na pia wana roho nzuri ukilinganisha na wanawake walio wengi wa kikristo.
Lakini pia waisilamu kuoa wake wengi hiyo karata waliicheza vizuri sana, lakini sisi wakristo ka mke kamoja yaani hakatoshi kabisa hapa tulipigwa na kitu kizito.

Kwa kweli niwe mkweli na nawapenda waisilamu kutokaana na kuoa wake wengi yaani full rotation Leo hii, kesho Ile.

Acha niwe muisilamu tu niongeze wake wengine watatu niwe na 4, hapa naona ndo akili itatulia.
Wapo pia baadhi ya mabinti wa kikristo wapo vizuri mkuu, japo Kwa waislamu ni wengi wapo vizuri na wengine(waislamu) wakikiuka huwa kama wanafanya makusudi hivi maana sio kwamba hawajui walichofundishwa bali huenda wakawa wamechoka na pia Sasa hivi wanaona kutii sana nikama kujishusha sana kulingana na wanaume pia walivyo badilika akili( ukifutilia vizuri ni kama kamzozo hivi haya mambo ya ndoa)
 
Shuleni nilikosoma tangu primary hadi chuoni, rafiki zangu wengi waislamu walikua wanalelewa na mama zao.
 
Back
Top Bottom