ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
hahahahaha ni bora hii ni hadithi sidhan kama kiuhalisia wanaume wako hivi, yan mtu ushajua kua mkeo anachepuka na bado humuachi kwa talaka loh one is from mars
Wanakujaningependa kama kuna wenye ndoa zao humu watupe stori zao tupate kujifunza
ningependa kama kuna wenye ndoa zao humu watupe stori zao tupate kujifunza
hujaelewaKujifunza nn mkuu kila mtu anapambana na ya kwake
wakodie fast jet basi mbona hawafikiWanakuja
hujaelewa
Kweli asee.... atakuwaje BOYA kiasi hicho!!!!onesmo punguza ushAmba basi unatuharibia hadithi yetu