Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,451
All sweet user names are TAKEN what shall I do,lol... All in all shida yangu haihusiani na user name,so ningependa mnisaidie kwa shida yangu na si user Name pls,n by the way,sijakeketwa na sikuwa Bikra pindi naolewa na my previous sikuwa nakosa hamu,halafu, sina mahusiano nje ya ndoa yangu.wala hata ile kumtamani mwanaume yeyote sijawahi
Kama unamwamini Mungu, nenda ukafanyiwe maombi. Kama humwamini wahi kwa wataalam wa saikolojia.
Swali dogo la nyongeza. Mmeo anajua kuwa hauijoi kustorongiwa? Katika hali kama hiyo huwa unafika kwenye paa la mlima?
Btw majina mazuri bado yako kibao. hebu jaribu kujiita mke wa Asprin uone kama limeshachukuliwa