mbishi wa wabishi
Member
- Sep 27, 2013
- 8
- 6
- Thread starter
- #21
Hapana sijawahi kuota ndoto za aina hiyo,labda sikumbuki,pia nafanya kazi kama mama anavotakiwa,ingawa kwa wale wanawake wavivu wavivu wa kubandika makucha wataziona ni nyingi,ila kwa mimi nimezizoea tangu kwa mama yangu mzazi,na sikuolewa tu ili niolewe,niliolewa kwa kuwa nampenda sana mume wangu,na umri wangu bado ni mdogo kiasi cha kusema kukimbilia ndoa,nitavitafuta hivo vitabu vinisaidiekabla sijakushauri ngoja nikuuliz¿ je unaota ndoto za mapenzi na mtu usiyemkumbuka alafu anakufikisha kuleleni? ukimwona mmeo unamchukia kama ndiyo tatafuta kanisa lolote la wakole wa ukweli watakuombea majini mahaba yataondoka utafurahia ndoa je unampenda huyo mume au ulifunga ndoa ili mradi uelewe ? una mti mwingine pembeni kama ndiyo acha.mwisho pengine ni uchovu wa kazi hilo mbaweza jadiliana na mwenza wako pia jua mapenzi yanahitaj mandaliz kisaikolojia akuandae vizur mwambie ni wapi ukishikwa unasisimuka sana ili ukulainishe ndo akugegede yani ulainike sanaa huku ukihemea juu juu then unamwambia amalize pia tafuta vitabu kama msinyimane vitakuongezea maarifa sawa dada