Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

Haaaa....mimi mwenyewe sasa hivi nimevunjwa nguvu na baadhi ya watu wanaoandika ili tu kufurahisha genge na kubeza ndoa...sasa majina yote mazuri yeye anachagua hili ...mimi ni mmoja wa wasioamini kuwa hakuna maana yeyote kwenye avatar...

Maandishi yake yanaonyesha yuko humble...avatar inamuonyesha ni arrogant...ushauri pekee ni abadili tabia

Nna wasi-wasi hata tukianza kukufunda utatubishia.
 
Jf bhana!
Kweli stress free! Kustrongiwa, picha za baba/ma mkwe chumbani. Burudani sana.
 
Mbishi,
jitahidi kupata muda wa kupumzika, usiwe umechoka sana unapoingia kitandani. Anza kulipenda tendo kuanzia ndani ya akili then na nje kimazingira jitayarishe. Kataa hali ya kutokuenjoy tendo na mumeo. Zidisha maombi pia kwa imani yako, maana wewe mwanamke ni mlinzi wa mumeo, ukilegalega hapo ulinzi unapungua.
 
na atakukimbia kweli kweli sio kidogo! jitahidi kula vyakula vya protein kwa wingi! pia hakikisha mind yako imerelax na mambo ya dunia hii ..usiwe na stress...kuwa huru jiachie!
au humpendi tena?
Kweli vyakula navyo vinahusika hapa,si mambn ya chips kuanzia asubuh mpak usiku,hakuna matunda wala mboga majan wala maji hakuna kunywa.
 
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa sana kurespond,mimi sielewi nini tatizo kwangu,sasa naona ntampa sababu mume ya kunikimbia kwakweli, naomba msaada wana jf
Yawezekana labda wewe sababu ni mbishi wa wabishi
 
Vipi kuhusu uzito wako? Umeongezeka sana baada ya kujifungua? maana hilo nalo ni tatizo ambalo linaweza kuchangia katika kupungua/kupotea kwa libido.

All sweet user names are TAKEN what shall I do,lol... All in all shida yangu haihusiani na user name,so ningependa mnisaidie kwa shida yangu na si user Name pls,n by the way,sijakeketwa na sikuwa Bikra pindi naolewa na my previous sikuwa nakosa hamu,halafu, sina mahusiano nje ya ndoa yangu.wala hata ile kumtamani mwanaume yeyote sijawahi
 
Mbona unaitwa "mbishi wa wabishi",leo tukikushauri hutabisha?
Ha,ha.. nakutania! poe sana
ngoja waje wenye ushauri
 
Vipi kuhusu uzito wako? Umeongezeka sana baada ya kujifungua? maana hilo nalo ni tatizo ambalo linaweza kuchangia katika kupungua/kupotea kwa libido.
I see!
ndo maana nakumbushwagwa kurudia size yangu kila nikitoka kujifungua?
wengine suti za harusi haziwatoshi lakini ni mabingwa wa kuomba wenzao angalau kwa mwaka mara moja watokee na gauni la send-off....... nahisi hata gauni la harusi lingekuwa ni vazi ambalo linavalika mtaani tungeulizwa siku tuvae.....
Mnajipenda sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtoa mada umeulizwa maswali mengi sana ya msingi ambayo yote jibu ni no!
mara nyingi njia za uzazi wa mpango zinasababisha sana ukosefu wa tendo la ndoa......... sasa sina uhakika na hizo mbegu za nyonyo kama zina hiyo tabia pia (hii njia ndo nimeisikia leo, lol!)
kama unaona kwako kila kitu kipo sawa, na kwa hakika kabisa ndani ya moyo wako bado unampenda mumeo the same way basi nenda kaonane na madaktari. Vipi lakini huna unayem-feel nje ya mumeo? (hili siyo lazima ujibu, jichunguze tu mwenyewe) maana kama unaye pia inaweza kusababisha ukakosa hamu na mumeo.
 
LOL! weye uko order banaaa hata ukivaa uniform za shule ya msingi Mwalimu hatakustukia darasani 🙂🙂, hakuna kitambi ngozi kama binti wa miaka 12 :behindsofa: washaanza kukuomba dawa unazomeza ili nao wawe kama wewe hahahahah!!!! Kumbe wengine imo katika genes hakuna dawa wala mama yake dawa.

I see!
ndo maana nakumbushwagwa kurudia size yangu kila nikitoka kujifungua?
wengine suti za harusi haziwatoshi lakini ni mabingwa wa kuomba wenzao angalau kwa mwaka mara moja watokee na gauni la send-off....... nahisi hata gauni la harusi lingekuwa ni vazi ambalo linavalika mtaani tungeulizwa siku tuvae.....
Mnajipenda sana
 
LOL! weye uko order banaaa hata ukivaa uniform za shule ya msingi Mwalimu hatakustukia darasani 🙂🙂, hakuna kitambi ngozi kama binti wa miaka 12 :behindsofa: washaanza kukuomba dawa unazomeza ili nao wawe kama wewe hahahahah!!!! Kumbe wengine imo katika genes hakuna dawa wala mama yake dawa.
ha haaa rafiki bana acha utani.... na uzee huu yunifomu tena? khaaaaaaaaaaaaaa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimekupata vizuri ila akina mama wengi wanapoteza ndoa zao baada ya kupata watoto/mtoto mama huhamishia hamu/upendo na mahaba kwa mtoto kumbe ni kosa kwa upande wa pili yaani kwa mume wake.
Ushauri
Weka mawazo kwa mumeo kuwa ndo chimbuko la mtoto na ndo aliyesababisha kuwa na mto na kisha ukaheshimika na chukua kuwa mtoto ni tunda alokupa mumeo na huwezi penda tunda zaidi kuliko aliyekupa tunda.
Kisha hakikisha mumeo anapata anachohitaji kama ilivyokuwa mwanzo na kama huna house girl tafuta ili usiwe bize na mtoto na mume akakuacha au kutoka nje bali wewe unatakiwa kumkare mumeo kama umleavyo mtoto wako bali mume humfungi nepi tu wakati mtoto unamfunga ila mapenzi/mahaba/mwonekano wa kumvutia ni lazima kumfanyia mume kama unataka kunusuru ndoa yako
Mwisho Kumbuka kuwa wanaume wote ni watoto kwa wanawake na unajua mtoto kwa mama anakuaje! Maana wewe ni zaidi ya mzazi wake maana amemwacha baba yake mama yake, na ndugu zake kaamua kuishi na wewe na wewe vivyo hivyo kwa hiyo cha msingi kwenu ni tendo na si mengine ya nje tendo la ndoa maana yeye ndo alolifuata kwako nawe ukalifuta kwake.
Msishughulishwe na ya nje ya APIZO KUU LA NDOA bali yachukueni kwa uangalifu na umakini mkubwa
Kwako sasa
Weka mawazo yako na fikiri nini kilichokufanya ukawa unamwuhitaji akumalize haja yako (whats make you sex arrogant)
Tafuta nini kilikuwa kinakuvutia kufanya mapenzi na mumeo kabla ya kupata mtoto? Basi tazama na kisha waza juu ya mwili wa mwenzio ili kuleta hisia za mwanzo zilikuwaje mnapokuwa mko watupu mkisubiri kutekeleza ibada kuu kuliko zote duniani.
 
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa sana kurespond,mimi sielewi nini tatizo kwangu,sasa naona ntampa sababu mume ya kunikimbia kwakweli, naomba msaada wana jf
kabla haujaolewa ulifanyiwa kitchen party??
 
jaribu kubadilisha mfumo wako si lazima aanze yeye wakati mwingine anza wewe,

au utuweke sawa una hamu ya hilo tendo kabisa au una hamu ya kufanya na mumeo?
 
Back
Top Bottom