Halafu akija shtuka kwamba kaharibu ndoa jamaa atakuwa hisia nae zishakata tayari, so ataanza kujibembelezesha kurejea too late!Zaidi ya mpumbavu
Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake mwenyewe
Tatizo ni kwamba Mungu hua aingiliagi mambo ya watu bila muhusika kuitaji msaada wake au mlianzisha mahusiano yenu bila kumshirikisha yeye alafu imetokea shida au matatizo kati yenu ndio unakua mnyenyekevu mbele zake. My friend unaitaji sala ya toba kwanza.Aliniambia wewe saiz ndo wakumjua mungu
(Pindi namwambia tuombeane mema na mioyo yakufuta majonz niliyomsababishia kwenye kipigo)
Aiseeeee!!!!Hivyo vya kujipimia ngoma ni kwa ajili ya kumpimia huyo mchepuko wa kiume aliyenaye. Think outside the box. Kwa nini kila mara unakubali majibu anayokupa.... Angetaka kujua afya yake angekwenda kwa siri kujipima kokote anapoona panafaa.
Nilichokiona jamaa alishawahi kumzibua, na ndicho hicho mwanamke anakichukulia kama sababu ya kumtesea jamaa! Ila deep down jamaa ana upendo mno na mke, alimbutua kutokana na mke kuleta mawenge!Sijaoa lakini hii imenichoma sana! Pole sana brother lakini wewe hujawahi kumsaliti?
Bro you're in deep shit...i can feel ya pains.
Mwanamke akishakwambia sikutaki/nataka talaka they always mean it...maana huwa inatoka moyoni.
Kitu kimoja wanawake wanakosea, huwa wanaweza kabisa kuingia katika ndoa/mahusiano na mtu asiyempenda wakidhani watajifunza kupenda wakiwa ndani...
Sasa huenda mkeo ni kati ya wanawake wenye mtazamo huo, alianzisha mahusiano nawe akiwa hana uhakika kama anakupenda na akiamini atajifunza kukupenda...
We all know, mtu ajifunzaye ijapofika wakati wa mitihani huweza kufaulu ama kufeli, na katika situation yenu mtihani ulikuwa huo umbali. Mkeo kafeli na rangi zake sasa umeziona.
So brother, all you can do now is to just let her be, get your kids na uondoke nao wala asijue ulioenda nao...
Mtu asiye na upendo na mumewe/mkewe na akisema anawapenda watoto huyo ni mnafiki. Huwezi kulipenda boga ukachukia uale...
.
Kumradhi, najua sio wote ni malaya snow, but wachache wana waharaibia wasifu kwa tabia za kutoridhika!Tutake radhi bana!
huyu fala mmoja usituchanganye naye wote!
Ni ukweli mchungu ila pls usiite uboya, yamkini yalishakukuta ama yanaweza kukufika hata wewe siku moja! Pia kumbuka huyu wa jamaa ni mke sio hawara!Ni upuuzi kuendelea kujipendekeza kwa mwanamke asiekupenda
Inabore sana kiukweli!Kumradhi, najua sio wote ni malaya snow, but wachache wana waharaibia wasifu kwa tabia za kutoridhika!
Sio wote ni malaya ila wengi ni malaya.Kumradhi, najua sio wote ni malaya snow, but wachache wana waharaibia wasifu kwa tabia za kutoridhika!
Aisee ni hatari halafu ubaya ni ngumu sasa kum control mwanamke wako asikusaliti hata kama unamfanyia kila lililo jema! Ikipatikana invention ya emotion control unit kwa ajili ya mwanamke asikukere wala kukusaliti Bill gates na buffet itabidi wapangiwe kazi zingine, maana mwenye umiliki nayo atakuwa multizillionarie!Sio wote ni malaya ila wengi ni malaya.
Aisee combination ya domo chafu na umalaya mbwa ni bonge la stress making machine! Mi pia nilikusanya vilivyo vyangu nikatembea na Yesu chap kwa haraka! Nikamuachia nyumba aishi pekeyakeMiaka ya nyuma nilikutana na upuuzi kama huu. Mwanamke ni malaya harafu anamdomo balaa. Mimi sio mnywaji wa pombe lakini siku hiyo, nilikunywa pombe nilivyorudi nyumbani nikachukua begi langu la nguo na hati ya nyumba, nikaondoka zangu.