Ndoa yangu ipo ICU !dah

Mkuu pole sana,hilo ni tatizo kubwa sana kwani huwezi fikiria chochote cha maendeleo kwa sasa.
Huyo binti hana mapenzi nawe kwa sasa,ikiwezekana chukua watoto urudi nao dar yeye muache peke yake kwa muda hata wa miaka mitatu ili huenda labda ataona udhaifu na mapungufu yake na kuamua kubadilika.wakati uko nae mbali wala usifanye nae mawasiliano ya aina yoyote,we piga kimya tu.
Kama ndani ya hiyo miaka mitatu hajakufuata na kuomba muanze tena upya kwa kurudisha mapenzi yenu basi fanya maamuzi magumu.
PIGA CHINI Huyo manzi/mke.
jitahidi sana uache pombe na uzidishe sana kwenye kutafuta mafanikio na nguvu ya kiuchumi
 
It makes more sense
 
U
Achana naye, mwachie watoto, tafuta dogo dogo, oa, anzisha familia nyingine. Wanaume ni adimu wanatafutwa! Usijidharaurishe, kikubwa hakikisha unapima HIV, then tafuta msichana mrembo mdogo kwa umri, tena hawa graduate waliojitunza wapo wengi mno, usikurupuke, jipe hata miaka 2 ya kutafuta, the kapimeni HIV anzisha familia kwa raha! Achana naye huyo malaya atakusababisha ufe kwa presha, na unaowaonea huruma utawaacha yatima na kibaya huyo mkeo anaweza kukuletea ukimwi ukafa
 
Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Mkuu ni wazi unagongewa hapo, we mwaka mzima umechapa mara 15, mwenzio ni mara tatu ya hizo. Hapo shida ni hao watoto tu,
Otherwise "kingekwishaeleweka" kitambo tu.
 
Pole sana mkuu ndoa inachangamoto kubwa sana jaribu kukaa naye mweleze kama hataki achana naye anaweza kukuuwa kwa pressure, sumu au ugonjwa wa kisasa.
Shida ya hawa ni kwamba pindi hajawekwa ndani anakuwa na adabu sana ukishamweka ndani anaanza leta kiburi
 
Sishauri watu, ila binafsi huwa sioni umuhimu wa kuoa. Unaamua kuishi na mtu kwa sababu ya tabia, urembo, sauti au ufundi wake jikoni na on bed...lakini unasahau kuwa watu tunabadilika kila siku, yanakuja yanatokea ya kutokea unatumia mda mwingi ku solve hayo matatizo. Maisha yako yote yanageuka na kuwa maumivu tuu, hata mkiachana unabaki na kovu siku zote!!

Sijafikiria kuoa bado. Mambo ya kugegeda mara 15 ndani ya miezi nane mimi siyawezi!
 
Mwaka mzima huu umemgegeda 15 times tu???!!!
Hata mie nimeshangaa maana nina mchepuko ambao tunaonana kwa kuvizia ila nimeuchapa Zaidi ya mara 15 mwaka huu sembuse mke wa ndoa?
 
Najua watu watakupa mawazo ya kuangalia kuwa una watoto. Kumbuka uliposema unasafiri alishangilia na kufurahi (thats do fucken dangerous) huyo anaweza kukupa sumu am sure...tayari moyo wake na roho yake inakufanya wewe kuwa ndio unamyima furaha ya Maisha....The next thing ni kuwa atakuletea Ukimwi au utalala asubuhi hutaamka. Ma telling you kuwa mwanaume. Chukua watoto wako muache kama alivyo huko but soon Karma is a bitch Yatamkuta tu maana huyo jamaa aliye nae anamdanganya sababu anajua kuwa sio mzigo wake but soon akibaki nae akajua sasa ni mzigo wake nae atamkimbia tu......na ndio atakaporudi...na hapo ndio mfukuze mazima!! Ukienda kwa wazazi sijui wazamini hao wote watawaambia kuwa msiachane but ukweli ni kuwa huyo mwanamke Hakupendi Tena!!! Na atakuua kwa presha na ukishakufa hutaitwa shujaa bali utaitwa mpumbavu na watu hao hao ambao now wanakwambia endelea kuwa nae ( wanatesa why hukumuacha na ulijua matatizo yake)
 
sijui kwanini nimeona mwandiko wako nimesikia hasira ya kulia!
hem njoo pm unihug!
 
Kweli mpenzi mnapitia mengi halafu nyie mnajua kuvumilia shida hizi bila hata kutoa chozi ila mnaumia ndani kwa ndani..
Huko nje bidada kashakolezwa Na hisia kwa mume zimeisha. Amuache tu
Yeah mpenzi when it comes to love huwa tunavumilia sana kwa mda mrefu before kuchukua maamuzi magumu kiasi kwamba kama ni mtu wa kubadilika anaweza kujirudi maisha yakaenda poa! The guys effort kunusuru ndo is bare!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…