Ndoa yangu ipo ICU !dah


tehe... mbona unamtetea sana? Usije ukawa teja lake. Yeye ndiye anayejua kwa nini anafanya vituko. Hayo mambo ya kuwa anafanya ujana kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa "mdogo"? Au wewe ni mkubwa sana kwake mpaka unakuwa na hisia hizo? Hakuna kinachohalalisha ubazazi katika ndoa ila kama unadhani anasumbuliwa na ujana basi mwachie nafasi; akimaliza na akili ikishamkaa sawa umpokee mwendelee. Ni uamuzi sahihi kama "assumption" yako ni sahihi.
 
asante kwa kunielewa hapo
Unajua ni ngumu kubeba wanangu nakurudi dr kutokana nishapata kaz huku
Hapa nataka nianze tafuta kibarua tena dar ili siku ya siku niamshe na watoto ila kwa sasa nataka nianze kuwa busy huku nikiwa kimya nahudumia majukumu yangu narudi nalala sitak hata kumwangalia machoni najua ratiba gani naweza pata mchana na alasiri kuja kuwaona watoto nyumban ila usiku nirudi mida imesogea wakiwa wamelala nisionane nae
 
KWANINI UNAJIHISI UNA HATIA ?
tuanzie hapa kwanza?
KWANINI UNAMTETEA SANA?

ndani YAKO UNAAMINI ULISTAHILI KUMUOA HUYU MWANAMKE?
 

Pamoja na nia yako nzuri huu ushauri wa kutupa mtoto boarding naukemea ushindwe!! Boarding waende watoto wanaoweza kujitegemea kimwili na kihisia kama sehemu tu ya mafunzo na si ukimbizi. Bibi naye anahitaji kuishi vimiaka vyake vilivyobaki kwa amani. Kila mtu abebe mzigo wake.
 
JAMAA HATAKI KUAMINI KUWA MKEWE AMEMUUMIZA!
so ANATAFUTA JUSTIFICATIONS!
ili ajipe amani
-kuwa well, hata hivyo uhusiano wetu ulianza akiwa ametoka kwenye break up
-well, nilimuoa akiwa mdogo so anafidia ujana
-well, hafanyi kwa ajili ya pesa anajimudu kipato
-well, nampenda na nahisi ana sababu ya kufanya hayo!

KUUUUUUMBAFFF!
mtu wa hivi hata thread ifike pages 100!
HACHOMOKI KWENYE HAYO MAHUSIANO MNAYOFIKIRI NI TOXIC KWAKE!
 

Mkuu ondoa shaka na hilo
Mimi wanangu napenda sana niwe nao close ndo mana nimedumu hadi leo
 
Akishapewa ukimwi au akimzima siku na sumu. Umpe tena huu ushauri.
 

Pole na hongera ila ujiandae pia kwa majira ya kaingazi ukiwa na huyu mtoto mpya

Hahahaaaa.... huwa wanachomoka wakishapata stroke na kufilisika au kufwa kabisa.
 
DAH!
sijui kwanini siamini katika UNYENYEKEVU WA KIWANGO HIKI!
 
Pole na hongera ila ujiandae pia kwa majira ya kaingazi ukiwa na huyu mtoto mpya


Hahahaaaa.... huwa wanachomoka wakishapata stroke na kufilisika au kufwa kabisa.
Au kuua pengine!
NAPENDA MAPENZI!sipendi MAPENZI YANAOUMA!
hii sio sawa kabisa!
kuna kituko nakisubiri MOROGORO soon!
 
amini na kwambia kitu kimoja tu
Wangekuwa watu wakupanga strategies ningechukua tuzo kwenye lolote
Naamini despite the fact kakosea nk ila mynext moves matter alot maana by any means either move i take i know i wiL win
Kama nilivyokuambia awali nimepata huku kaz ndo mana nataka kutumia mda huu pia kuanza kupata kaz tena dar...
Yan hata nikiambiwa kuna salary take home 500k naenda
Mycv is very good in no time najua ntapata pengine worth myskills
Ndo mana nimekuwa nimeishiwq option sana esp hku ni ugenin na yey mwenyej mie nikupanga timetable tu upya ya mida ya kurud nk asisikie saut yangu wala tusitiane machoni hata afu siku ikifika naaga nawanangu
Na trust me dec haifiki mana nimetibuliwa afu gafla sna
 
naona umetosheka na ushauri ama la sivyo ungejibu kwa kiitikio nilichokuuliza!
 
Mkuu achana tu na huyo mwanamke.
Wanawake ni wengi sana hapa duniani na maisha haya ni mafupi sana. Hakuna sababu ya kuanza kumkomalia mtu sana na kumganda mtu ambaye hata hakupendi.

Kikubwa hakikisha unapata haki za kutosha za kubakia na wanao. Yeye mwache tu aendelee kumalizana na hii dunia
 
Pole sana ......jaman jaman wengine tulikosa wanaume wa namna hii ambae anajali na kusikiliza lakini tulivumilia. bado familia ya mme ikaingilia ndoa yangu nikaamua kuondoka na kumuacha now naumia kwa kupotezewa mdaa......basi nahuyo dada muache tu broo tafuta dada yako akulelee watoto wako watakuwa tu.
 
Nakuelewa!
HAVE COURAGE BRO!
BADO UNABAKI KUWA WA THAMANI SANA!
usikubali HII KITU IONDOKE NA UTU WAKO!
 
Tulizeni mshono maisha magumu mkiachana ndo mnaharibu kabisa
 
ANGALIZO!
watoto wabaki na mzazi mmoja mwenye afadhali ya hiki ndoa yenu inapitia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…