Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
huyo mwanaume ana mawazo mgando kipindi cha mvua yanayeyuka kwa tabu mpeleke akafanyiwe maombezi au mpige talaka tatu oh sorry kumbe wanaotoa talaka tatu ni wanaume tu,cha msingi waone wazazi kwa ushauri zaidi.Mungu akutangulie na kukutia nguvu hawa viumbe hata uwapende vipi utaambulia manyoya.