Chetuka unasubiri kifo??Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Wewe ni mwanamke mpumbavu zaidi kuliko mke wa mleta uzi usiniulize kwaniniNi hilo tu au kuna jingine umetuficha?
Umri wako unamuathiri nini yeye?
Ukute kuna mahali hujagusa na ameguswa na mtu huko mtaani basi anakuona wewe ajuza
Angalia ulipokosea urekebishe mkuu
Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
🙏Kwa akili hizi mkuu salute
We mzee kwa akili hizi nikupe pongezi sana 👍👍👍L
Nimekumiss pia auntyang umeadimika jmnNimekumic shangaziiii.
Ila madem sjui kwann huwa wanaropoka pasina kuulizwa, me kuna moja hilo liliniambia lilibikiriwa na mmasai, lilianza "ila wamasai wana mizigo jamani" nkamuuliza mizigo gani huku moyoni nishalikinai siwezi shindana na yelo subhai mimi 🤮🤮Huo umri ni umri wangu na mke wangu ana hyo miaka 28
Mim kuna siku mchepuko wang tena yeye ndo huwa anaonekana kunitaka zaidi kaniambia kuwa nina kifua kidogo sana yaan hakijatuna kama wengine tena wakat huo alikuwa juu yangu,hapo nikajiongeza kuwa kuna mwamba yupo nae kajazia kifua
Kama wewe ulivyo mwanaume mpumbavu kuliko wote humu jf usiniulize Kwanini piaWewe ni mwanamke mpumbavu zaidi kuliko mke wa mleta uzi usiniulize kwanini
Si ndio na wanasimamia kucha balaaTena 4m 4 leavers waliozungusha 0.
Ataanza kuchapiwa au tayari anachapiwa?Duuuh hana akili huyo.
Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Mwanaume miaka 34 mzee? Weñgi wa umri huo ndo wanatafuta kuoa nà wanatafuta bikra miàka 18 na kuendelea.Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Hizo zinaitwa hila za mwanamke kwenye ndoa,pole...Habari wakuu,