Ndoa yangu haina amani

Bonge la ushauri 👍
 
Mwenzetu kaomba ushauri,sio kusakamwa,kama huna cha kumshauri nyamaza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Eti tutakula kesho!! Yewooomi mie ni mwanamke ila nimewaza hilo jibu nikahisi kutetemeka. Kuweni wanaume jamani khaaah!!

Halafu dunia inakoelekea inabidi tuanze kuinstal software mpya kwenye vichwa vya mabinti zetu na vijana wetu wa kiume pia.
 
uza mzee utembee mwisho wa siku utakuja kufa na kiharusi ashaanza kutiwa huko nje
Ubaya hiyo nyumba hauwezi uza bila ruksa ya Mke kwani ni mali ya familia, na mnunuzi akiwa smart atahitaji hiyo ruksa na mke awepo shahidi # 1 (ugumu mwingine), hapo labda aondoke tu mikono mitupu akatafute mbele kwa mbele. Ila pole sana Mkuu
 
Aisee pole sana , hivi hiyo biashara uliyomfungulia ni ya kwake peke ake au ni yakwenu ,
Mm ninachofikiria unamfungulia mke biashara akae, ila ile biashara unakua ni sehemu ya familia na msimamizi mkuu ni ww na mke atabaki kuendelea kua msaidizi tu
Au biashara yenyewe ni saluni za kike ?
 
Pole sana mkuu,
Ila jamani buku 2 tu inasababisha hadi mnanuniana??
Tafuta msimamo tu maana kwa inavyoonekana hapo home bila we kuwa na hela hakutaweza kuwa na amani!
 
Pole sana sasa ukiuza nyumba watoto watakaa wapi
 
Kuandika hivi ni rahisiiiiii tena sana ukipewa viatu vyake huwezi kuvivaa
 
Inaonyesha ni namna gani alikua hakupi kunyumba kwa muda mrefu
 
Story kama hii sikia tu kwa mwenzio,pole sana mkuu kwa unayopitia,sio kwa nia mbaya lakini inaonesha wife ana mchepuko wake tayari anakutafutia sababu tu ya kuachana..
My Take:Achana nae kabla hajakuletea vituko vya wazi wazi
Ndoa ni balaa lingine sijui kwanini watu wakaiingia kwenye ndoa ndiyo mikosi inaanza
 
Kwa tabia hizi zote sema tu usioe, maana hakuna hata moja watakosa
 
Ndoa hizi
Ndoa bhana mtihani,jamaa ana maduka yake mawili kkoo moja amekaa yeye lapili kaweka vijana wakawa wanamuibia,Akaona isiwe taabu akamwachisha mkewe kazi ha ualimu kamuweka dukan.Mtihani ukaingia katika biashara yake ikafa mke akaanza balaa,Jamaa alikuwa kajenga ghorofa moja mwanamke akataka wagawane mahakama ikagawa mwanamke juu mwanaume akae chini,mwanamke akawa anaingiza wanaume juu jamaa akaona isiwe shida kakimbia......

Ndiyo vitimbi vya wanawake hivyo,

Maisha ya ndoa yanahitaji ubabe,mapenzi kwa mbaliii
 
Kwa kuwa anadhani fedha ndiyo kila kitu, mpe nafasi kwa muda. Katafute amani ya moyo..... Iko siku atakukumbuka

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Wanazingua sana hawa
 
mna watoaga wapi wa hivyo
Ndo hawa hawa sema inategemea mwanaume unaishi nao vipi,
Mimi ni mfuasi wa mfumo dume sitaki kuletewa habari za 50/50 hapa ni 90/10

Nimepiga chini mke baada ya kuona ananiletea zengwe na kutaka kunitawala

Nikamwambia, “Mimi huwa sitawaliwi na wala haitatokea kamwe nikawa chini ya mwanamke, huwezi kufata sheria zangu beba kilicho chako sepa”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…