Ndoa ya wake wengi

Ndoa ya wake wengi

Mkuu Jack Daniel's Uzi wako upo mtaamu.hili tatizo lipo na sote tunalijua au kulintenda kwa kujifisha au bayana .Ila kwa mfumu uliopo kwa sasa hili wazo lako limeshapitwa na wakati.Dunia ya leo imekuja na mfumo mpya unaojulikana kama Wutandawazi na usawa wa jinsia.Kila kukicha Jamii inazidi kubadilika kwa kitaaluma ,kitabia,kimila,kidini,na kiuchumi....Mnamke yupo mwanme na mwaume yupo mwanamke.
Huu mfumo uliopo kwa sasa Polygamy imepotea hadhi yake na Ndoa zetu zinaigiliwa na tamaa na ukosefu wa imani....Hamna tena poligamy kuna Ufisadi........Nahilo serikali yawezi hata maramoja kulihalalisha ....
 
Swala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni maamuzi yako ila inahitajika kua na hekima na namna ya kuwalingania wake zako siku hizi watu wanajifanya kuoa mke mmoja lakini ukiangalia asilimia kubwa wanamiliki nyumba ndogo zaidi ya moja Babu zetu moja ya sababu zilizofanya waoe wake wengi walikua hawana nyumba ndogo za uchocholoni
 
Kuoa sio issue,swala gumu ni matunzo ya hao wake,watoto,wakwe kwa kila mke,mashemeji kwa kila mke nk.nk.wengi huwa wanaishia kutelekeza familia zao au kufa haraka kwa maradhi ya presha.
 
Hapana Mungu ndivyo alivyotuumba hivyo, fanya utafiki kidogo hata Viumbe vingine vilivyo kwenye kundi la MAMALIA i.e wanyama wa porini, ndege , viumbe vya baharini utakuta hiko hivyo. ''ME'' lazima atakuwa na zaidi ya Mmoja.

Mungu anachukia uzinzi ndio maana unaona mshahara wa dhambi ni mauti na hao wanyama unaozungumzia hata KE huwa hawalali na ME mmoja unless utake kusema KE binadamu ndio mwenye akili na utashi wa kujua zuri na baya na ME binadamu akili na ufikiri wake ni kama wanyama wakti si kweli
 
Kwani mpaka mbugani, si kuna wanyama wa kufugwa kama paka, mbwa, kuku, punda. Tambua hamna tofauti kati ya wanyama wa kufugwa na wale wa porini

Tofauti ipo ndio maana mmoja yuko nyumbani na mwingine yuko porini. Sijataka kukutolea hao wanaofugwa nyumbani, kwasababu hawapo huru, yaani mfugani ndiye anayeamua kwamba sasa hivi nataka kuwa na paka mmoja au wawili tu, sidhani kama kuna mtu atakubali kufuga zaidi ya paka 8 nyumbani, lakini hao wa porini wako huru na ni rahisi kufahamu uhalisia wa maisha yao. Hata hivyo, mfano mzuri fuata wataalamu wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku na wengine watakuambua ratio ya dume moja linatakiwa kuwa na majike wangapi.
 
mambo yamechange mclinganishe na zaman wadau. magonjwa lukuki na wanaume wa cku hiz weng vijogoo huyo mmoja tu kumridhisha huwez hao weng utawezea wap? af acheni kujiridhisha nyie tuuu fikiria upande wa pili. km ww roho inavyokuuma kushare mapenz hatamkeo ataumia hasa wa kwanza. ya nini kuumizana jamani???? ucone waislam wameoa wake weng mnaona rahaaaaa. many of them watoto wao tu hawapend baba akioa inakua full vurugu. chakushangaza wenyewe nao wanaoa wake weng. swali la kujiuliza mama yako akiongezewa mke mwingine roho inauma coz unajua atapata tabu. y kwamkeo huumii????? wanawake wanateseka jaman kisa tuashk zenu.
 
Kuoa sio issue,swala gumu ni matunzo ya hao wake,watoto,wakwe kwa kila mke,mashemeji kwa kila mke nk.nk.wengi huwa wanaishia kutelekeza familia zao au kufa haraka kwa maradhi ya presha.

Uko sahihi, na ndio maana kabla hujaoa mke mwingine au wengine make sure:-

1.Una rasilimali fedha za kutosha za kuwahudumia wote.

2.Una nguvu za kutosha za kukidhi matamanio yao ya kimwili (Rijali).
 
Kweli kabisa. Sasa lakini kuwatunza sio mchezo mtu unakua na wake wanne alaf maisha yko kubangaiza. Kweli starehe ya maskini ni ngono tu hawazi mengine
 
Mungu anachukia uzinzi ndio maana unaona mshahara wa dhambi ni mauti na hao wanyama unaozungumzia hata KE huwa hawalali na ME mmoja unless utake kusema KE binadamu ndio mwenye akili na utashi wa kujua zuri na baya na ME binadamu akili na ufikiri wake ni kama wanyama wakti si kweli

Hakuna aliyehalalisha uzinzi, nilichokisema mnatakiwa mfahamu kuwa wanaume hawatosheki na mke mmoja, hivyo anapohitaji kuongeza mwingine ni vyema mkawaruhusu, kuendelendelea kuwakatalia kutasababisha achepuke. Na hii ndio iko hivyo, hata kwa viumbe vingine ''me'' mmoja lazima awe na zaidi ya ''ke'' mmoja.
 
Kweli kabisa. Sasa lakini kuwatunza sio mchezo mtu unakua na wake wanne alaf maisha yko kubangaiza. Kweli starehe ya maskini ni ngono tu hawazi mengine

Halafu sisi wenye visenti zaidi yako tunakusaidia kutunza wake zako kifedha na kimwili.Tena hawanaga makuu wale
 
Halafu sisi wenye visenti zaidi yako tunakusaidia kutunza wake zako kifedha na kimwili.Tena hawanaga makuu wale

Haha kabisa unapewa tu kwa jinsi unavyojitoa. Ndo mana michepuko haiishi kwa mtindo huu
 
Hivi kwanini isiruhusiwe tu na serikali ya TZ, namaanisha watoe na vyeti kadhaa vya ndoa sio moja tu, tatizo hasa liko wapi?. Waislamu kila siku wanajipendelea, wakistro tunajibana na mke mmoja wakati michepuko tunaendekeza, huku watu mfano Mfalme Sulemani alikuwa ameoa totoz zaidi ya 700 kama sio 1000. Watu kama Mfalme Mswati III hawamfikii hata robo Mfalme Sulemani.

Wanaume are 'polygamous' by nature hiyo hata science inathibitisha. Historia inaonyesha wanaume walikuwa wanaoa wake wengi na wanawake wala hawakuwa na tatizo na wengi wao wala hawana tatizo na hilo.

yaan kama mmechoka mke mmoja kama tulivyochoka mme mmoja hii serikali iliangalie jaman tumechoka
 
Hakuna aliyehalalisha uzinzi, nilichokisema mnatakiwa mfahamu kuwa wanaume hawatosheki na mke mmoja, hivyo anapohitaji kuongeza mwingine ni vyema mkawaruhusu, kuendelendelea kuwakatalia kutasababisha achepuke. Na hii ndio iko hivyo, hata kwa viumbe vingine ''me'' mmoja lazima awe na zaidi ya ''ke'' mmoja.

Hakuna mtu anayetosheka na mtu mmoja kwa kuwa huwezi pata mtu aliyekamilika idara zote unatamani kujaribu kuwa na kila mtu lakini dhamira yako inakusuta ndio maana unaona kuna me waliotulia na mke mmoja na pia tunaona wanawake wasioweza tosheka na mtu na mmoja cha muhimu ni kujitahidi ujicontrol tu
 
Jack Daniel's

tatizo sio serikali wala dini wala vyeti tatizo ni kubadilika kwa hali ya maisha.
1. kama utaweza kuwapa dozi ya kitandani na mahaba kadri watakavyo kila siku owa tu
2.kama uchumi wako ni imara kimahitaji wanapotokea mmoja au wawili wagonjwa kuwahudumia bila malalamiko owa.
3. kama utaweza endana na mahitaji ya kikawaida kama kujali ndugu /wazazi wawake wote walau kwa kuwasalimia tu na ukaribu owa.

hakuna sheria inayokataza mtu kuowa wake 100
 
Last edited by a moderator:
by nature mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja huo ndio ukweli. Na wanawake wenyewe wanajua kua mziki wa kumridhisha mume sio mdogo na hiyo kazi hawaimudu ila wivu unawasumbua

Wivu na choyo.

Kuna wengine huwa hata wanawaza mapenzi basi? Wengi wetu huwa tunawaza urithi tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom