Ndoa ya wake wengi

Ndoa ya wake wengi

tatizo sio serikali wala dini wala vyeti tatizo ni kubadilika kwa hali ya maisha.
1. kama utaweza kuwapa dozi ya kitandani na mahaba kadri watakavyo kila siku owa tu
2.kama uchumi wako ni imara kimahitaji wanapotokea mmoja au wawili wagonjwa kuwahudumia bila malalamiko owa.
3. kama utaweza endana na mahitaji ya kikawaida kama kujali ndugu /wazazi wawake wote walau kwa kuwasalimia tu na ukaribu owa.

hakuna sheria inayokataza mtu kuowa wake 100

* Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ina mapungufu yenye kutaka mwanamke wa kwanza akubali kwanza kabla ya kumletea mwenzake wasaidiane, imekaa vibaya zaidi kwa wakristo
 
Kweli kabisa. Sasa lakini kuwatunza sio mchezo mtu unakua na wake wanne alaf maisha yko kubangaiza. Kweli starehe ya maskini ni ngono tu hawazi mengine

Mkuu lakini kwa reserch ya harakaharaka matajiri hawawezi kuoa mke zaidi ya mmoja ni masikini ndio anaweza kuoa wake wengi tena sio mjini mara nyingi wake wengi utawakuta mashambani huko .huku mijini sio sana wengi wanawekwa kiunyumba tu au nyumba ndogo.
 
mambo yamechange mclinganishe na zaman wadau. magonjwa lukuki na wanaume wa cku hiz weng vijogoo huyo mmoja tu kumridhisha huwez hao weng utawezea wap? af acheni kujiridhisha nyie tuuu fikiria upande wa pili. km ww roho inavyokuuma kushare mapenz hatamkeo ataumia hasa wa kwanza. ya nini kuumizana jamani???? ucone waislam wameoa wake weng mnaona rahaaaaa. many of them watoto wao tu hawapend baba akioa inakua full vurugu. chakushangaza wenyewe nao wanaoa wake weng. swali la kujiuliza mama yako akiongezewa mke mwingine roho inauma coz unajua atapata tabu. y kwamkeo huumii????? wanawake wanateseka jaman kisa tuashk zenu.

* Maumivu ya mwanamke yanatofautiana na ya mwanaume ndio maana hadi leo wanawake wengine wanakaa na wake wenza na wanafurahia wakati kwa mwanaume haiwezekani akawa na mme mwenza na akafurahia

* Wanawake hawateseki, wanaona raha ndio maana wengine wanashauri mwanaume aoe mke mwigine ili kusolve mambo fulani
 
Mkuu lakini kwa reserch ya harakaharaka matajiri hawawezi kuoa mke zaidi ya mmoja ni masikini ndio anaweza kuoa wake wengi tena sio mjini mara nyingi wake wengi utawakuta mashambani huko .huku mijini sio sana wengi wanawekwa kiunyumba tu au nyumba ndogo.

Ndio maana umasikini haupungui" nikweli wengi wao ni masikini wanaopenda kuoa wake wengi. Matajiri wengi wao wanadivorce na kuoa mke mwengine lk c kua na wake wengi at the same time.
 
* Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ina mapungufu yenye kutaka mwanamke wa kwanza akubali kwanza kabla ya kumletea mwenzake wasaidiane, imekaa vibaya zaidi kwa wakristo

inamaana unashindwa kumueleza mwanamke akubali uongeze mke wa pili? kama huwezi kumfanya mwenyewe kukuomba uowe wa pili basi hustaili kuowa wengi.

Labda nikusaidie.
Fanya nae mapenzi usiku kucha ndani ya wiki,mpaka yeye akuombe upumzike alafu ukatae umwambie nguvu zimekuzidtua i na yeye hawezi kukuhudumia pekee hivyo mtafute njia ya kutatua hilo tatizo, ndipo atakuomba uowe mwingine ili kwamba akichoka uende kwa mwingine.

kama ni mtu wa kagoli kamoja alafu unalala mpaka asubuhi usitegemee mwanamke akubali uongeze mke hata akiwa mwislam na dini inamruhusu atakukimbia tu,maana utakuwa unamdodesha na humkati kiu alafu umuongezee mwingine hawezi kukubali.

inatakiwa hata ukiwa nao 10, wote unawachokesha na kuwakojosha vya kutosha kiasi kwamba wenyewe wanakushauri uende kwa mke mwingine wapumzike.
 
* Unadhani Mfalme Sulemani alifanya hivyo mpaka akawa ameoa totoz 1000?

* Unafikri Mfalme Mswati III anafanya hivyo kila mwaka anavyooa?

* Unafikiri wanawake wanakubali kirahisi hivyo? Ukimkuta fyatu anaweza kukomaa kila siku wala haombi kupumzika hiyo strategy itakuwa imefeli.

* Ishu ni kuwa wanawake kwa jinsi walivyoumbwa hawana hisia za karibu sana na mambo haya kama wanaume. Siku unataka anakwambia hajiskii, utambaka?
 
Hivi mwanamke anapenda mwanaume apige magoli mengi au anapenda afikishwe kileleni?? Wapo watu wanaenda hata round 5 lkn round hizo zote wanakojoa wao tu wenza wao hawafiki kilelen, na wapo wanaume wengine round moja tu mwenza wake keshafika kilelen mara mbili na yupo hoooooiiiiiiii na usingz mzito unamchukuwa, hata ukimuomba muende round ya pili dem anasema hapana nimetosheka!!!!!

So ishu co mwanaume umeenda round ngapi bali ishu ni kumkojoza mwenzi wako!!!
 
Kwa kawaida ukingonoka na binti na kumuacha ni sawa na kuoa na kuacha sasa bhana Jack Daniel wewe toka umevunja ungo ooh sorry umebarehe umenginoka na wanawake/vibinti.wangapi? Na vp bado unaona serikali inakubana
 
mstari wa mwisho wa comment yangu umeusoma vizuri, nimemaanisha umkojoshe vya kutosha mpaka akuombe kupumzika
 
* Unadhani Mfalme Sulemani alifanya hivyo mpaka akawa ameoa totoz 1000?

* Unafikri Mfalme Mswati III anafanya hivyo kila mwaka anavyooa?

* Unafikiri wanawake wanakubali kirahisi hivyo? Ukimkuta fyatu anaweza kukomaa kila siku wala haombi kupumzika hiyo strategy itakuwa imefeli.

* Ishu ni kuwa wanawake kwa jinsi walivyoumbwa hawana hisia za karibu sana na mambo haya kama wanaume. Siku unataka anakwambia hajiskii, utambaka?

nilichomaanisha ni yeye mwenyewe mwanamke akiri mapungufu kwamba yeye pekee hawezi. wanawake hukataa kwa vile wanajua ukiowa mwingine yeye dozi itapungua hivyo burudani kwake itakuwa adimu.

sasa ukifanya hivyo anajua hata ukiowa yeye ataendelea kupata burudani ya kutosha. hakuna sababu ya kuwa na msururu wa wanawake ambao huwezi waridhisha kimapenzi.

hao akina sulemani na mswati au jakobo zuma hatuwezi kuwasemea ndio maana kuna taarifa za baadhi ya wake kutoka nje.
 
Do you remember in Kenya last year? there was a need for a piece of legal paper to show that a man doesn't require his wife's consent if he wants to add another wife

U don't need a piece of paper to have a wife in the first place. Huko kijijini watu bado wana wake kibao na vyeti vya ndoa hawana na hawahitaji consent ya any of the wives to add another. We kama ndo maisha unayaona poa unajiongezea tu
 
Kwa kawaida ukingonoka na binti na kumuacha ni sawa na kuoa na kuacha sasa bhana Jack Daniel wewe toka umevunja ungo ooh sorry umebarehe umenginoka na wanawake/vibinti.wangapi? Na vp bado unaona serikali inakubana

* We ni KE au ME? At least hujatumia effort kujua kuwa mimi ni ME sio KE, ishu ni kwa upande wako sasa..
 
U don't need a piece of paper to have a wife in the first place. Huko kijijini watu bado wana wake kibao na vyeti vya ndoa hawana na hawahitaji consent ya any of the wives to add another. We kama ndo maisha unayaona poa unajiongezea tu

* Unatambua umuhimu wa kuwepo kwa sheria ya ndoa katika nchi?

* Hii sheria haikutungwa kuwalenga watu wa kijijini tu, bali wote, na jinsi vijiji vinavyobadilika kutokana na maendeleo hata mtu akiwa kijijini inamuhusu....
 
Mkuu usiwe mgumu kuelewa. We are not talking about the importance of the law. We are talking about you seeing this "Law" unjust. And the way out is, "Si lazima uifuate!'

Don't change the law that majority sees it as right. Change U
 
If you want to take a trip down a rabbit hole its fine with us, just don't drag everybody along
 
Mkuu lakini kwa reserch ya harakaharaka matajiri hawawezi kuoa mke zaidi ya mmoja ni masikini ndio anaweza kuoa wake wengi tena sio mjini mara nyingi wake wengi utawakuta mashambani huko .huku mijini sio sana wengi wanawekwa kiunyumba tu au nyumba ndogo.
Tajiri wa dunia kipindi chote Musa Kankan Masa alikua na wake wangapi???
 
Mkuu usiwe mgumu kuelewa. We are not talking about the importance of the law. We are talking about you seeing this "Law" unjust. And the way out is, "Si lazima uifuate!'

Don't change the law that majority sees it as right. Change U
If you want to take a trip down a rabbit hole its fine with us, just don't drag everybody along

* Don't forget that any law already in effect need to be respected...

* That means if one doesn't agree with any part or whole part of the law, the way out is not ignoring part or whole part, instead one advocates for some changes or a new law

* I think if you are personally okey with the said law it is no correct to assume everybody is okey with it too...

* I am not dragging anybody along, just like any other debate there are proposers and opposers...
 
Back
Top Bottom