Vyeti sasa
Muone mkuu wa wilaya au mkuu mkoa.
Vyeti sasa
Hapo ninaongea kisheria zaidi.
Umeshawahibona cheti cha ndoa??
Kama umewahi angalia lazma wameandika type of Marriage.
Kama ni Monogamous watatia Tick,kama ni Polygamous wanatia tick,kama ni Potentialy Polygamous wanatia tick pia.
Angalia afu uje uniambie hapa.
Kisheria inawezekana bila tatizo,kidini ndio shida.
Sio kweli kwamba wanaume wote wameumbwa hivyo maana kuna wengine hawako hivyo. Yaan hiyo ni tabia kama tabia zingine anazoendekeza mtu bila sababu za msingi. Eti kwakuwa ni mwanaume ni sawa ila kwa mwanamke ni pepo la ngono hahaaaa
Hi mtu unahitaji serikali ikuruhusu kuoa mke????? sidhani kama hili ni wazo bali ni hisia binafsi! Siamini pia kwamba hili ni moja ya matatizo wanayowaza wengi walioko kwenye ndoa!
Mzinzi mini? Badili dini kama shida yako ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sasa unataka kutu shawishi nasisi tusio kua na haja hiyo. Badili oa 40 huta ulizwa.
Serikali haihusiki na dini na imani za watu
mshana jr , serikali inahusika sana, angalia hizi ibara mbili za kwenye TZ Marriage Act cha 1971
10. Kinds of marriage
(1) Marriages shall be of two kinds, that is to say (a) those that are monogamous or are intended to be monogamous; and (b) those that are polygamous or are potentially polygamous. (2) A marriage contracted in Tanzania whether contracted before or after the commencement of this Act, shall (a) if contracted in Islamic form or according to rites recognised by customary law in Tanzania, be presumed, unless the contrary is proved, to be polygamous or potentially polygamous; and (b) in any other case, be presumed to be monogamous, unless the contrary is proved.
11. Conversion of marriages
(1) A marriage contracted in Tanzania may be converted (a) from monogamous to potentially polygamous; or (b) if the husband has one wife only, from potentially polygamous to monogamous, by a declaration made by the husband and the wife, that they each, of their own free will, agree to the conversion.
(2) A declaration under subsection (1) shall be made in the presence of a judge, a resident magistrate or a district magistrate and shall be recorded in writing, signed by the husband and the wife and the person before whom it is made, at the time of its making.
(3) The judge or magistrate before whom a declaration is made under this section shall forthwith transmit a copy thereof to the Registrar-General.
(4) No marriage shall be converted from monogamous to potentially polygamous or from potentially polygamous to monogamous otherwise than by a declaration made under this section.
(5) No marriage between two Christians which was celebrated in a church in Christian form may, for so long as both the parties continue to profess the Christian faith, be converted from monogamous to polygamous and the provisions of this section shall not apply to any such marriage, notwithstanding that the marriage was preceded or succeeded by a ceremony of marriage between the same parties in civil form or any other form
Zinatofautiana utarekebisha vp?
Haya basi katiba mpya inahusika
Me I know myself, siwezi kushare
Hapana Mungu ndivyo alivyotuumba hivyo, fanya utafiki kidogo hata Viumbe vingine vilivyo kwenye kundi la MAMALIA i.e wanyama wa porini, ndege , viumbe vya baharini utakuta hiko hivyo. ''ME'' lazima atakuwa na zaidi ya Mmoja.
Unataka kusema ng'ombe wa kike anasex na ng'ombe mmoja wa kiume? au ndege au viumbe vya baharini?
namanisha wakiume mmoja, lazima awe na wakike zaidi ya mmoja.
Na wakike anakuwa na wakiume wangapi?
Kwahiyo sisi tumeumbwa kuwa na wanaume wangapi? mbona mnajifikiria nyie peke yenu, huo ni ubinafsi. Achepuke tu ila siku nikijua ndo basi tena.
Kitu gani kinatofautiana
Anakuwa na mmoja tu kwa wakati mmoja, ila huwezi kujua hadi ufanye utafiti, ndio maana utakuta mara nyingi wanyama hasa wapori wanatembea kimakundi makundi. mfano swala Dume moja lina majike sita hadi nane. kama unatembelea mbugani jaribu kumuulizia yule anayetembeza watu mbugani atakuleza, na mbona hata wanasayansi wanakubaliana na hili.
Hi mtu unahitaji serikali ikuruhusu kuoa mke????? sidhani kama hili ni wazo bali ni hisia binafsi! Siamini pia kwamba hili ni moja ya matatizo wanayowaza wengi walioko kwenye ndoa!