Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
dena umepona???
hehehe. Naona kakushinda hadi wewe mwalimu mkuu. Hug tu kwa Katavi vumbi limetimka utasema kuna alshabaab! Mtoto jangili huyu!
Japo una mapungufu mengi kama chujio lilivyojaa matundu....mie bado nakupenda sweetlady wangu...
Karibu nyumbani tuanze mwaka mpya kwa penzi imara
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Eti??? Baba V kamu zisi wei unisaidie kujibu hili swala hapa
Vin Diesel hukomi tu?
Kwa taarifa yako nitonye anatikisa kiberiti,hapindi kwa sweetlady,watarudiana tu.
Mzima wa afya kabisa vipi wewe umeshafika yale maeneo kutoka kule mahapa sijui kwa Babu wa JF sijui panaitwa nini vile majina magumu sana ya huko
heheheheh!!! nisharudi. karibu tusheherekee mwaka mpya pamoja
Hayo ya kumpenda nitonye ntakuPM mke mwenza.
Mungi kunitosa hawezi, sema mie ndie simtaki manake siwezi vita na Lily Flower
Ha ha haya bana mie ndio niko ndani ya ile mahala nilikwambia nitakwenda ha ha pokea simu bana
Huyu ndio mwanamke wangu wa kwanza,nitamsahau vipi unadhani!