NDOA YA MWENDO KAZI

NDOA YA MWENDO KAZI

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
Ndugu huyu ameamua kufunga ndoa na wanawake wote watatu anasema wote anawapenda kwa moyo wa dhati.
Neno moja la pongezi kwake kwa ujasiri.
14717069_1766422680241194_820835980803453511_n.jpg
 
Kama uwezo wa kifedha na uwezo wa chumbani anao ni sawa tu ajitahidi kuwa muadilifu
 
Mitala/Mitaala.

Mambo yanabadilika taratiiibu
 
Back
Top Bottom