Ndoa ya mtoto wa Mungai bado kitendawili

Huwa nashindwa kuelewa nikiona mtu anakuja na kuazisha TOPIC alafu inahusiana na life ya mtu sasa hapo ukishajua kuhusu hii ndoa ndio itakuwaje zaidi??Maana naona hamna point ya kuanzisha topic kama hii leteni topic za maana hao wafunge ndoa wasifunge watajijua wenyewe hawatulipi na wala hawatusaidii....
 
Mwanaume ukitaka kuwa na starehe ndani ya nyumba yako usije ukafunga ndoa na huyo mwanamke uliyenae, bora kuishi nae tu kama mchumba maana wachumba huwa wanapenda na kujali mwanaume, lakini akishaolewa anabadilika kabisa utadhani siye yule! Unapokuwa nae kama mchumba anakupa penzi zuri ajabu, na hata unyumba hadi unaona mashallahu mwanamke ndio huyu! Ngoja ufunge hiyo ndoa! Siku za mwanzo atajitahidi kidogo hadi apate mtoto, na kama bado mnatafuta mali pia atavuta muda hadi aone sasa kuna mali za kutosha, cha kudai kipo. Hapo utaanza kunyimwa unyumba, kununiwa, kuagiziwa kuwa chakula kiko jikoni anayetaka ale asiyetaka aache! Sasa katika hali kama hii kwanini mwanaume asitafute mchumba mwingine? Ya nini kuteseka wakati uwezekano wa kufurahi upo?

Mkuu unategemea umempata wapi;kama ulisali ukamwomba mungu hakika hata ukifunga nae ndoa weeeeeeee acha tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yassin
user_offline.gif

Yassin is Around
Senior Member
Join Date: Wed Jul 2008
Location: United Kingdom
Posts: 194
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Thanks: 827
Thanked 43 Times in 35 Posts
Credits: 3,091,261

icon1.gif
Re: Ndoa ya mtoto wa Mungai bado kitendawili
Huwa nashindwa kuelewa nikiona mtu anakuja na kuazisha TOPIC alafu inahusiana na life ya mtu sasa hapo ukishajua kuhusu hii ndoa ndio itakuwaje zaidi??Maana naona hamna point ya kuanzisha topic kama hii leteni topic za maana hao wafunge ndoa wasifunge watajijua wenyewe hawatulipi na wala hawatusaidii....

Aim ni kurekebisha jamii kaka!!!soma vizuri hoja za watu uone kama huyo nduguyo kakako,mjombawako ajajifunza,na kama ajajifunza mpaka sasa mpe pole!!!

Hii ni JF rrekebisha hata wewe ukifanya vimbwanga visivyompendeza mungu ama jamii lazima tukumwage jamvini;
 
progress.gif
 
Back
Top Bottom