Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja
Kwanini unataka uoe mke zaidi ya mmoja?
 
Ulichosema ni sawa lakin i kwa mwanamme ALIYEKUWA na Mawazo ya kuongeza mke ujue ataongeza tu
Ataongeza lakini huwa ndio mwanzo wa migogoro katika familia akili kumkichwa.
 
MCHAMUNGU TU NDIYE ANAWEZA FANYA HIVYO...
NA WIVU ANAO SANA...NDIO MAANA AKAMSHAURI AKAOE KULIKO ZINAA..
Yataka moyo sana , mi naona afadhari mume acheat nisijue niwe na doubt tu, kuliko hiyo kuoa kabisa yaani unajua kabisa mwenzangu yupo dah, na hao wake wadogo wanavojua kumteka mume,mwishowe anahamia mazima huko aargh.
 
Wape kina Dada elimu, wasome vizuri wajitambue alafu tuanzie hapo kuhusu ndoa ya zaidi ya mke mmoja . Umaskini na ukosefu wa Elimu ni maadui wakubwa sana wa sisi Watanzania. Hamna ajira, hamna namna tunaweza kupambana na maisha tunabaki kuwaza kuongeza Wake. Hivi una binti wako umemsomesha vizuri na malezi yanayoeleweka alafu mtu anakuja anataka kumuoa kama mke wa pili au watatu kama Mzazi I will be heading to the police station by myself ..........
 
Back
Top Bottom