Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Hakuna mtu anayependa kushea haya mambo,ila ikitokea ndio hivyo tena.
 
y
Umenena ndugu yangu.

Yaani ni bora mume tu awe Na mke ukajua moja kuliko kuzini nje na maradhi Haya yalojaa.

Tukifiria zaidi ndoa ni tulizo la nafsi.
Yaani wewe dadangu me naona lazima utaenda peponi,yaani kama haya unayoyasema ni kweli basi huyo shemeji yetu ana raha sana na wewe....duuuh Mungu anisamehe yan mpk nimekutamani kiukweli.....wenzio hawapo hivyo kabisa.
 
Wanawake wengi hawakubali hili lakini hawana sababu yoyote ya maana zaidi ya wivu tu.
 
Hakuna mtu anayependa kushare penzi..hata ninyi wanaume sisi tungekuwa tunaolewa na mume zaidi ya mmoja mngepigana kila siku. Huwa nashangaa tu mnavotushangaa eti tuna wivu, ninyi Hamna wivu? Halafu huwa mnajiangalia tu nyie na tamaa zenu bila kuangalia upande wa pili. Jiulize ingekuwa wewe ndiye mke unaambiwa unaletewa mke mwenza ungefurahi na kushangilia kabisa? Au siku mke wako akwambie nataka niongeze mume mwingine muwe mnashare wewe ungemuelewa?
 
Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja
we una ndoto kama zangu aise..kitu Mathna inshaallah[emoji120]
 
Umenena ndugu yangu.

Yaani ni bora mume tu awe Na mke ukajua moja kuliko kuzini nje na maradhi Haya yalojaa.

Tukifiria zaidi ndoa ni tulizo la nafsi.

Na hilo haliwezi ila Mu'umin.
 
Yataka moyo sana , mi naona afadhari mume acheat nisijue niwe na doubt tu, kuliko hiyo kuoa kabisa yaani unajua kabisa mwenzangu yupo dah, na hao wake wadogo wanavojua kumteka mume,mwishowe anahamia mazima huko aargh.
Sawa basi wewe ndo utakuwa mdogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntamkandika mapoda [emoji23],lipstick nampaka ya blue [emoji849]

Sina shaka juu hilo,
Anasema ALLAH shari zenu/vitimbwi vyenu nyie wanawake ni vikubwa kuliko vya Shetani
 
Yaani! Hata mi sikuuona kama ni uzima sababu Wivu unatakiwa uwepo kidogo hata kama tuna imani kiasi gani.


Umeongea point kwa sababu penzi haligawanyiki kamwe.....mwanamme anaweza kuoa wake zaidi ya wawili ila as mwanadamu inakubidi utambue kuwa huyo mwanamme LAZIMA atakuwa kamchoka mke wa kwanza na kalowea kwenye nyumba ndogo yake mpaka kahamua kumfanya mke halali. Anyttime mwanamme anapo oa mwanamke mwingin ni kwa sababu kachoka yule aliyekuwa naye(nao) awali.
 
Umeongea point kwa sababu penzi haligawanyiki kamwe.....mwanamme anaweza kuoa wake zaidi ya wawili ila as mwanadamu inakubidi utambue kuwa huyo mwanamme LAZIMA atakuwa kamchoka mke wa kwanza na kalowea kwenye nyumba ndogo yake mpaka kahamua kumfanya mke halali. Anyttime mwanamme anapo oa mwanamke mwingin ni kwa sababu kachoka yule aliyekuwa naye(nao) awali.
Sometimes huwa naamini hivyo japo wanadaigi inawezekana mwanaume mmoja akajigawa na kuwapenda wote eti.
 
Back
Top Bottom