Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,916
- 8,715
Mie nimeolewa tayari.
Unasubiri mke mwenzako aongezwe..
Mie nimeolewa tayari.
Akii wana mioyo ya pekee. Safii
Unasubiri mke mwenzako aongezwe..
mie siwezi aisee...
Kwanini?
Hahahahaha with my approval first.
labda kama nimezeeka na mwenzangu au nimemchoka,hapo akioa na akwendeee,lol
But at the end Mume akisema ndio kasema heheheheh
All the best on your approval
You gone nut,brozaman!?OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL without him no arsenal
Ntakualika tuende Na kahawa ntapika lol
Nimepokea mwaliko kwa mikono miwili
Uje na ambulance
Wewe je,kuolewa mke wa pili ungekubali?
Hakikisha unatoa approval ukiwa hospital ili kuepusha usumbufu wa hapa na pale
No way,labda nikiwa nina miaka 60,😀😀
Walaa si roho mbaya!Anakutakia afya ilo mardhawa kwa sababu ni mtihani.Tena mtihani haswaa!Una roho mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Okay miaka 60 ukafanye nini kwa mume si bora tu uzeeke ki single.